• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MAFUNZO YA KILIMO CHA MBOGAMBOGA YAANZA RASMI MKONGO.

Posted on: September 14th, 2020

Afisa Kilimo, Umwagiliaji, na Ushirika Wilaya ( DAICO) Ndg. Geriad Ismael Mgoba pamoja na timu ya wataalamu wa Kilimo Wilkaya leo ametembelea kambi ya Vijana ya Kilimo na Maarifa Mkongo ikiwa ni siku ya kwanza ya Mafunzo ya wiki mbili (2) ya Kilimo cha Mbogamboga.Akizungumza na Timu hiyo, Ndg. Dickson Alex Msimamizi wa Kituo cha Mafunzo kilichopo chini ya SUGECO amesema mpaka Sasa kambi imepokea wanafunzi 59 kati ya hao walio ripoti toka Rufiji 16, Mkuranga 04, Kibiti 09, na Kisarawe 30. " Lengo la Mafunzo ni wanafunzi 50 lakini mpaka Sasa tumepata 59." Alisema. Amesema kuwa Mafunzo hayo ya Kilimo yanatolewa bure bila malipo  kwani yamefadhiliwa na Shirika la Chakula Duniani pamoja na Serikali ya Tanzania hivyo Chakula, malazi na Elimu vinatolewa bure.Aidha Ndg. Dickson ameongezea kuwa Mafunzo hayo ambayo hufanyika kwa vitendo 80% na darasani 20% yamekuwa na manufaa makubwa kwa Vijana hasa wa Rufiji kwa kupata Elimu kubwa ya ujasiriamali, uzalishaji Mali, Usimamizi wa mashamba kibiashara, na kuwawezesha kuanzisha makampuni na mashamba yao na kuwapatia kipato watu wengine." Kwa Sasa tumeanza awamu ya kwanza 2020 kwa Kilimo cha Mbogamboga , yatafuatiwa na Mafunzo ya Ufugaji wa kuku, na baadae Ufugaji wa Nyuki. Mafunzzo haya yataenda kwa awamu tano mfululizo kwa Vijana tofauti." Msimamizi huyo alimalizia kwa kutoa Ushauri kwa Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kutumia kituo hiki kama sehemu ya kujifunzia hasa Kilimo cha kisasa kwa kutumia kitalu Nyumba, tekinolojia ya Umwagiliaji, Ufugaji. Akizungumza na Vijana kambini hapo Afisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika amewapongeza Vijana waliochangamkia fursa ya kwenda kujifunza kambini hapo na kuongezea kuwa Kilimo sio kazi ya Utumwa bali ni kazi inayoweza kuleta utajiri Mkubwa. " Ninaamini mtajifunza vizuri na pale ambapo mtakutana na Changamoto tuwasiliane. Tumepataa Mkuu wa Wilaya anayependa Kilimo, Tunaamini Vijana watajaa mpaka tushindwe pa kuwaweka"

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa