• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MADIWANI WATAKIWA KUSHIRIKI KUTATUA KERO ZA WANANCH.

Posted on: November 3rd, 2022

                      


Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amewataka Madiwani kuhakikisha wanashiriki kutatua kero za wananchi na  kuepuka kuwa sehemu ya chanzo cha kero hizo hususani kwenye swala la migogoro ya wakulima na wafugajiMhe. Gowele ameyasema hayo leo Novemba 3. 2022 wakati akitoa maelekezo ya Serikali katika kikao cha baraza la madiwani robo ya kwanza kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri.Aidha ametoa msisitizo juu ya ushirikiano katika utatuzi wa changamoto za wakulima na wafugaji huku akitoa shukrani kwa baraza hilo kwa namna ambavyo limekuwa likiunga mkono oparesheni za kuondoa mifugo inayoingia bila kibali jambo lililopelekea migogoro kuisha bila kujitokeza vifo vya watu." tuhakikishe tunawalinda Wananchi wetu. mifugo yote iingie kwa utaratibu. mimi na kamati ya ulinzi na usalama tutaendelea kusimamia haya kwa uaminifu mkubwa. sisi tumeshajipanga . madiwani huko mlipo kama utakuta kuna mifugo isiyoeleweka tupeni taarifa. tuhakikishe tunaondoa kero kwa moyo na sio kwa malipo. pasitokee mapigano wala mauaji." alisema Mhe. Gowele.Sambamba na hayo ametoa rai kwa madiwani kuhakikisha wananchi wanashiriki katika ujenzi wa vyumba 15 vya madarasa vinavyojengwa kwa fedha toka serikali kuu Milioni 300 zilizotelewa kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023.Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Juma ligombaametoa msisitizo juu ya swala la mshikamano ili kuwaletea wananrufiji maendeleo.Aidha ameongeza kwa kueleza hali ya makusanyo ya Halmashauri kulinganisha na mpango uliowekwa katika ukusanyaji." tunafunga robo ya kwanza tukiwa na asilimia 36 za makusanyo. jambo ambalo ni zaidi ya asimilia tisa za makadirio ya makusanyo ambayo ni asilimia 25. tuendelee kusimamia katika namna ya kuweza kukusanya mapato zaidi." alisema Mhe. Ligombakwa umoja wao madiwani wa Halmashauri wametoa pongezi kwa mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kwa namna alivyoweza kuirudisha Stendi ya mabasi ikwiriri katika usimamizi wa Halmashauri jambo ambalo kwa miaka mingi lilikuwa likishindikana

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa