• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MADIWANI, WATAALAMU WA HALMASHAURI WAPATA MAFUNZO KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO

Posted on: February 11th, 2025

Waheshimiwa Madiwani pamoja na Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji wakiwa wamefanya ziara Katika Wilaya ya Kilombero Mkoni Morogoro kwa ajili ya mafunzo ya namna kilimo Cha miwa na uwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Kilombero livyonaleta faida kwa Wananchi.

Moja ya jambo walilojifunza katika Ziara hiyo ni ushirikiano kati ya Kiwanda cha Sukari na Wananchi wa Kilombero katika namna wanavyonufaika na Kilimo Cha miwa kisha kukuza Kiwandandi kutoka uwepo wa soko la zao hilo.

Ziara hiyo itasaidia kutoa elimu kwa Wananchi juu ya umuhimu wa kujihusisha na kilimo Cha miwa baada ya uwekezaji wa kilimo Cha miwa na Kiwanda Cha Sukari Kinachojengwa Katika Kata ya Chemchem na Kampuni ya Lake Agro.Co.Ltd ambapo kukamilika kwake kutazalisha kuzaliwha tani laki Moja za sukari kwa mwaka, huku kikitegemewa kutoa fursa za ajira kwa Vijana wa Rufiji na Tanzania kwa ujumla.

Akizungumza baada ya kupatiwa mafunzo ya namna Kiwanda Cha Sukari Kilombero kinavyoendeshwa na Wananchi wanavyonufaika kwa kilimo Cha miwa pamoja, kuuza kiwanda kutokana na uwekezaji huo, Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Mhe. Abdul Chobo alisema kuwa uwepo wa Kiwanda Katika maeneo yetu kuna fursa nyingi zinapatikana ikiwemo kutoa fursa za ajira kwa Vijana, kwa kujishughulisha na kilimo Kisha kuuza kiwandani, au kuajiriwa na Kiwanda endapo Mtu akipata ujuzi mbalimbali.


"Sasa tumejua faida... Lakini tumepata fursa ya kujua kuwa uwepo wa Kiwanda kuna fursa nyingi zinapatikana, kama ajira, kwahiyo tumepata fursa na tumeelimika vizuri" alisema.

"sisi tunawashukuru kwa kutupokea na kutuelimisha, kila mmoja anatamani uwekezaji uliobora" aliongeza Chobo.

Viongozi wengine waliokuwepo Katika ziara hiyo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Simon Berege, pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Rufiji Bw. Ayubu Sebabili.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa