• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MADIWANI RUFIJI WAPATIWA MAFUNZO KUJENGEWA UWEZO

Posted on: June 2nd, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imewezesha utoaji wa Mafunzo ya siku tatu yanayolenga kujenga uwezo kwa Madiwani hasa katika utekelezaji wa Majukumu yao.Akifungua Mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kwa kuona umuhimu wa mafunzo hayo na kuongeza kuwa mafunzo hayo yatajenga uwezo katika utekelezaji na ufuatiliaji pamoja na usimamizi wa shughuli za maendeleo zinazotekelezwa ndani ya halmashauri ili kuwaletea Wananchi maendeleo  .“ Ni matumaini yangu kuwa mafunzo haya yataifanya Rufiji izidi kupaa kimaendeleo kama ilivyodhamira ya Mhe. Rais  ya kuwaondolea wananchi changamoto na kuwaletea ustawi.” Alisema Gowele.Sambamba na hayo, amewataka madiwani kuendelea kusimamia miradi ya maendeleo katika Kata zao pamoja na kusimamia ukusanyaji wa mapato.Awali akitoa taarifa ya utangulizi Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Salim Msuya ameeleza kuwa mafunzo hayo yamejikita katika kuwajengea uwezo madiwani katika kufahamu kwa kina Mfumo wa Serikali za mitaa, Wajibu an Majukumu ya Diwani, Uandaaji wa bajeti, usimamizi,na utekelezaji, Makusanyo ya Mapato katika mamlaka za Serikali za mitaa,ufuatiliaji na udhibiti wa fedha za umma, maadili ya viongozi wa umma pamoja na utawala bora na mapambano dhidi ya Rushwa ikiwemo ulinzi na usalama pamoja na uhamiaji.Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Ligomba ametoa shukrani kwa niaba ya Madiwani kwa kukubali kuwezesha mafunzo hayo licha ya mafunzo hayo kutokuwepo kwenye bajeti.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa