• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MADAWATI 576 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU

Posted on: February 17th, 2022


Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amekabidhi madawati 100 kwa Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Kilimani na kumtaka kuyatunza madawati hayo ili yaendelee kutoa ari ya usomaji kwa wanafunzi \Awali, akitoa taarifa fupi ya uboreshaji wa miundombinu ya shule za msingi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Rufiji Edward Buganga amesema, Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Imetoa jumla ya shilingi Milioni 34.6 mapato ya ndani kutengeneza madawati 576 ambapo kati ya madawati hayo madawati 100 yamekamilika na mengine yakiwa katika hatua ya ukamilishaji huku tenda zikiwa zimetolewa kwa vikundi mbalimbali vya mafundi wilayani humo. 
Aidha Mhe. Gowele ametoa shukrani kwa mdau wa elimu ambaye amejitolea usafiri kusafirisha madawati hayo toka ikwiriri hadi shuleni na kutoa wito kwa wadau wengine wa maendeleo kuendelea kushirikiana na jamii za wanarufiji kuchangia katika shughuli za maendeleo.
“Tunamshukuru sana mdau wa maendeleo toka kilimani kwa kujitoa kusafirisha madawati haya 100 bure hadi shuleni. Na nitoe wito kwa wadau wengine kuiga mfano huu kwa kushirikiana na wananchi kuchangia katika shughuli za maendeleo” alisema Gowele 
Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa sule hiyo ameishukuru serikali kwa namna ambavyo inaendelea kuboresha miundombinu ya elimu na kueleza kuwa madawati hayo yanaenda kupunguza kwa kiasi kikubwa  changamoto ya upungufu wa madawati.
“ Shule ya msingi kilimani inajumla ya wanafunzi 1554 ambapo awali tulikuwa na upungufu wa madawati 172 hivyo madawati haya 100 yatapunguza changamoto ya madawati kiasi kikubwa“ alisema

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa