• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MADAWATI 300 AWAMU YA PILI YAKABIDHIWA

Posted on: December 4th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Lt. Col Patrick Sawala ameambatana na Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa, Mkurugenzi Mtendaji pamoja na baadhi ya Maafisa toka Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji katika hafla ya kipekee na ya ki historia ya kukabidhiwa madawati 300 toka kwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ) Rear Admiral Richard Makanzo.
Kati ya Madawati 300 madawati 100 yametolewa na Mkuu wa Kamandi hiyo pamoja na madawati 200 yaliyotengenezwa kwa kupeleka Vifaa tu bila gharama ya matengenezo wala Ufundi ( labour charges)
Kufuatia tukio hilo Mkuu wa Wilaya ameeleza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ipo katika mpango wa kuongeza boti za kusafirisha Wananchi wake ili kuboresha miundombinu ya Usafiri wa maji hivyo ameomba kupokelewa kwa maaombi yao pindi Utaratibu wa matengenezo utakapoanza.
Naye Mhe. Mohamed Mchengerwa Mbunge wa Wilaya ya Rufiji amepongeza jitihada za Mkuu wa Kamandi hiyo katika Kuungamkono juhudi za Serikali hususani Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji na kutoa Shukrani za pekee kwa Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye toka ameingia madarakani 2015 amekuwa Champion wa Sera ya Elimu bure na Kuboresha miundombinu ya Elimu Nchini.
Pia Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Rashid Salum Salum ametoa Shukrani na kuahidi kudumisha Ushirikiano huo unaolenga kuboresha maisha ya Watanzania hususani Rufiji.
Kwa Upande wake Mkuu wa Kamandi hiyo amesema kuwa utengenezaji wa madawati hayo sio hisani bali ni Wajibu wao katika kuisaidia jamii na kuahidi kuwa ataendelea kutoa Ushirikiano kwa Wananchi wa Rufiji ili Kuleta maendeleo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa