• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI WAASWA KUTOA TAARIFA KWA WAKATI

Posted on: September 23rd, 2022

Mafunzo ya siku tatu yaliyokuwa yakifanyika kwenye Ukumbi wa Kingsway MjiniMorogoro yakiwapika maafisa Mawasiliano wa serikali kuhusu kutoa taarifa zamradi wa shule Bora na Miradi mingine ya kimkakati yamefikia tamati Jana tarehe22 Septemba,2022

Programu ya Shule Bora ni mradi wa Serikali ya Tanzania wa kuboresha Elimuya Msingi unaofadhiliwa  kwa msaada wa UKaid wa Uingereza huku washirikawa utekelezaji wakiwa ni Cambridge education,Plan International,ADDInternational,Rescue committee kwa kusaidiana na OR-TAMISEMI kwa pamoja naWizara ya Elimu ya juu,Sayansi na teknolojia.

Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya habari-MAELEZO Rodney Thadeus ameeleza kuwamafunzo haya yalikuwa yanaongeza maarifa waliyonayo wahudhuriji ametoa rai kwamaafisa hao kuwajibika kwa kuongeza ubunifu na uthubutu wa kutoa taarifa zaMaendeleo ikiwemo kupiga picha za utekelezaji kwa namna Serikali inavyotatuachangamoto za wananchi wake na kutolea ufafanuzi wa taarifa za upotoshajizinatolewa na wachache wasioitakia mema nchi yetu

Aidha,Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini OR-TAMISEMI,Angela Msimbila amewapongeza wahudhuriaji wote wa mafunzo hayo ambayo yamewapamwanga na Chachu ya mabadiliko ya kuandika na kutoa taarifa za miradi yoteinayotekelezwa kwenye Maeneo yao ikiwemo shule Bora kwani wakati huu wananchiwanahitaji kuhabarishwa kwa njia tofauti ikiwemo mitandao ya Kijamii ambakoDunia ipo Sasa

Raymond Kanyambo,mratibu wa mafunzo kutoka Cambridge Education amesema kuwakitendo cha kutamatisha mafunzo ni kiashiria cha kwenda kufanya kazi zakuhabarisha Umma juu ya malengo na dhamira ya mradi hivyo wafadhili wanatarajiakuona taarifa nyingi zitakazohamasisha ushirikiano chanya kwenye utekelezajikati ya wafadhili,Serikali na jamii ili mradi uwe na tija.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa