• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KAMATI YA DCC RUFIJI YAPITISHA BIL. 40.9 YA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA MAKISIO YA BAJETI YA HALMASHAURI

Posted on: February 12th, 2026

Kikao cha Kamati ya Ushauri Cha Wilaya (DCC), kimeidhinisha mapendekezo ya rasimu ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Mji Rufiji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yenye Jumla ya Shilingi 40, 961, 397,000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Halmashauri ikiwemo kutatua kero mbalimbali na kupeleka huduma karibu zaidi na Wananchi.

Rasimu hiyo ya bajeti  imepitishwa jana Februari 12, 2026 katika kikao Maalumu Cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Rufiji DCC, Cha kujadili rasimu ya mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 ya Halmashauri ya Mji.

Akiwasilisha taarifa ya mapendekezo hayo, Mkuu wa Divisheni ya Mipango na uratibu Halmashauri ya Mji Rufiji Bw. Pius Magoti amesema mapendekezo ya bajeti hiyo itatumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Miradi ya elimu na Afya hali itakayorahisisha upatikanaji wa huduma kwa Wananchi.


Akizungumza baada ya kupokea taarifa hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba alisisitiza kuwa mapendekezo ya  bajeti hiyo yalenge kutumika kama ilivyokusudiwa pamoja na utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa ajili ya Vijana Wanawake na Watu wenye ulemavu.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri aliiomba Kamati hiyo kuwa na ushirikiano katika kudhibiti upotevu wa mapato ya Halmashauri, na kuhakikisha mapato yanakusanywa kwa wingi Ili Serikali iweze kutoa huduma nzuri kwa Wananchi, huku akisisitiza umuhimu wa urudishwaji wa mikopo ya asilimia 10 ili ziweze kuhudumia Wananchi wengine.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA DCC RUFIJI YAPITISHA BIL. 40.9 YA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA MAKISIO YA BAJETI YA HALMASHAURI

    February 12, 2026
  • MIFUGO ITAKAYOKUWA NJE YA RANCHI KUKAMATWA

    December 29, 2025
  • MBEGU ZA KOROSHO ZIMESHAFIKA, WANANCHI ANDAENI MASHAMBA- DC KOMBA.

    December 03, 2025
  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA BWENI SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA

    December 02, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa