• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KUNENGE ATAKA BARAZA LA BIASHARA PWANI, KUKUZA BIASHARA NA KUVUTIA WAWEKEZAJI.

Posted on: May 13th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, amelitaka Baraza la Biashara Mkoni humo kuandaa Mikakati Madhubuti ya Kukuza biashara na kuvutia wawekezaji katika kufursa mbalimbali zilizopo mkoani humo.

Kunenge ameyasema hayo leo Mei 13, 2024, wakati akifungua Mafunzo ya siku mbili ya uendeshaji na Majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Binafsi katika Mkoa wa Pwani, yanayoratibiwa na Idara ya Uwezeshaji Kiuchumi na Maendeleo ya Sekta Binafsi, kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Urati

Amesema  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kutafuta wawekezaji kuja kuwekeza hapa nchini ambapo Mkoa wa Pwani ni miongoni mwa Mikoa inayonufaika na jitihada hizo na kuwa ni wa kwanza kwa uwingi wa Viwanda nchini, hivyo akalitaka Baraza hilo kuunga mkono jitihada hizo kwa kuhakikisha mazingira ya Uwekezaji Mkoani Pwani yanaboreshwa.

“Ndugu zangu wana Pwani Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa na maono na miongozo mizuri ya namna ya kuliongoza vyema Taifa hili na kukuza uchumi wake kupitia sekta mbalimbali ikiwemo Viwanda, Biashara na Uwekezaji," amesema. 

Ameliambia Baraza hilo kuwa linatakiwa kuzingatia vipaumbele vya Rais katika kukuza uchumi na kuongeza wawekezaji hapa nchini kwa kuwezesha mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji.

“Mkoa wa Pwani, umejaaliwa kuwa na fursa za kipekee za kijiografia na rasilimali nyingi ambazo tukiweza kuzitumia vizuri kupitia mashirikiano ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma tutaweza kupiga hatua kubwa, katika maendeleo ya kiuchumi," amesema.

“kwa muda mrefu Mkoa wa Pwani umekuwa mdau muhimu katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa Tanzania kupitia fursa za kijiografia na miundombinu wezeshi ikiwemo barabara, reli, umeme na maji.

Fursa hizo zimeufanya Mkoa huu kuwa rahisi kufikika.” amebainisha Kunenge na akasema kuwa Mafunzo hayo yaende sambamba na majadiliano ya kimkakati ya kukuza ufanisi kwenye viwanda ili kutoa mchango wa Mkoa katika pato la Taifa.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa