• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KUJA KWENU KUUNGANA NASI NI FARAJA KUBWA KWETU : MEJA EDWARD GOWELE.

Posted on: October 18th, 2022



Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa salamu za pongezi Kwa Serikali ya awamu ya sita pamoja na watumishi wapya wa kada ya ualimu walioajiriwa hivi karibuni.


Ameeleza kuwa kuajiriwa Kwa walimu hao ni faraja kubwa Kwa Wananchi wa Wilaya ya Rufiji kwani watasaidia Kwa kiasi kikubwa kupunguza changamoto ya idadi ya walimu wanaohitajika kulinganisha na idadi ya Wanafunzi.


Meja Gowele Ameyasema hayo wakati wa kikao cha kuwakaribisha walimu wapya waliopangiwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kilichofanyika mapema Oktoba 19. 2022 katika ukumbi wa Halmashauri.


"Tunaamini watoto wetu na Jamii kwa Ujumla watapata maarifa mengi kutoka kwenu, Niwaombe tuwaandae vijana wetu kuwa na ujuzi na maarifa. Elimu pekee haitoshi. najua kuna changamoto lakini mkazigeuze kuwa fursa. Niwahakikishie sisi viongozi wenu tunawapenda , tunawajali na tunawathamini sana na ndio maana leo tupo pamoja kuwapa maelezo yanayozingatia kanuni, sheria na taratibu katika utumishi wa umma." Alisisitiza Mkuu wa Wilaya


Aidha ameitaka idara ya Elimu pamoja na Tume ya utumishi wa Walimu TSC kuhakikisha wanatoa Huduma Bora Kwa Walimu kuondoa Kero mbalimbali zinazoweza kupelekea kushusha Ari ya utendaji kazi wa Walimu hao.


Mafunzo hayo ya siku moja yaliandaliwa na Tume ya utumishi wa Walimu TSC pamoja na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Kwa lengo la kuwapa nafasi waajiriwa wapya kufahamu haki zao pamoja wajibu wao katika utumishi wa umama

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa