• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KONGAMANO LA WANAWAKE RUFIJI LAFANA.

Posted on: March 6th, 2023

Mkuu WA Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ameshiriki Kongamano la Wanawake lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Leo  Machi 5. 2023.Akizungumza wakati wa Sherehe hizo Meja Gowele amesema Serikali Inafanya jitihada kuwawezesha Wanawake kuendana na mabadiliko ya Tekinolojia na Kuwataka Wanawake kuahakikisha wanaunga mkono jitihada hizo Ili kukuza uchumi binafsi na Taifa Kwa Ujumla.Sambamba na hayo ametumia hadhira hiyo kuwataka Wazazi kuhakikisha Wanachangia kurekebisba Maadili ya watoto kwenye jamii.Hata hivyo amewataka Wazazi na jamii kuhakikisha inaweka nguvu kubwa kupinga vitendo vya kikatili hususani katika utoaji wa taarifa Kwa wakati pindi vitendo hivyo vinapotokea."Tuendelee kupinga ukatili wa kijinsia na tutoe taarifa Kwa haraka pindi tunapoona matendo ya ukatili." Alisema Meja GoweleKwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Sebastian Gaganiga amesema Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji itaendelea kuhakikisha inaungamkono jitihada zinazofanywa na Wanawake katika jamii na kuwajengea uwezo wa kiuchumi kwa kuendana na mabadiliko ya Tekinolojia kupitia mikopo ya silimia 10 ya Wanawake ,Vijana na watu wenye ulemavu.Kongamano hilo limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanakwenda Kwa kauli mbiu ," ubunifu na mabadiliko ya Tekinolojia: chachu katika kuleta usawa wa kijinsia."   ambapo Kwa Mkoa wa Pwani yatafanyika Wilayani Bagamoyo tarehe 8 Machi 2023.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa