• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI MKATABA WA LISHE CHAFANYIKA

Posted on: September 3rd, 2025

Kikao Cha Tathimini ya Utekelezaji wa Mkataba wa lishe Aprili - Juni 2025 kimefanyika Leo Septemba 3,2025 na kuhudhuriwa na watendati wa Kata, Wakuu wa Divisheni za Elimu na Afya katika ukumbi mdogo wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mji Rufiji.

Akitoa pongezi za utekelezaji wa Mkataba huo Mkurugenzi wa Mji Bw. Simon Berege amesema ataendelea kutoa motisha kwa Kata zitakazopanda kwa asilimia ya utekelezaji na zile zitakazoendelea kushikilia nafasi ya kufanya vzuri ili kuendelea kutimiza lengo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan .

Aidha amesisitiza watendaji kuendelea kusimamia maeneo yao na kuhakikisha shule zinakuwa na mpango wa elimu ya kujitegemea utakaowawezesha wanafunzi kupata chakula shuleni.

Akimwalilisha mwenyekiti wa kikao hicho, Katibu Tawala Wilaya ya Rufiji Bw. Mustapha Kimomwe amewataka watendaji kutimiza wajibu wao katika maeneo yao ya kazi kuhakikisha wanaiwakilisha vizuri Serikali kwani wao wanabeba dhamana kubwa ya kusimamia utoaji wa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI MKATABA WA LISHE CHAFANYIKA

    September 03, 2025
  • Camfed YAPONGEZWA KWA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

    August 30, 2025
  • DC KOMBA ALITAKAJ JESHI LA AKIBA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI RUFIJI.

    August 24, 2025
  • MNYEMA APONGEZA UKARABATI WA HOSPITALI YA WILAYA YA RUFIJI (UTETE).

    August 26, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa