• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KIDATO CHA KWANZA WAFURAHIA MAZINGIRA SHULENI

Posted on: January 17th, 2023



Wanafunzi wa Kidato Cha Kwanza Wilayani Rufiji Mkoani Pwani wameishukuru Serikali ya awamu ya Sita Kwa kuboresha na kujenga miundombinu mipya katika Shule za Sekondari yakiwemo madarasa pamoja na Shule Mpya za kisasa.


Mwangaza Hamidu Makonwa mwanafunzi wa Kidato Cha kwanza Shule ya sekondari ya Kata ya Ngarambe inayojengwa Kwa fedha Toka Serikali Kuu kupitia Mradi wa Sequip kwa kiasi Cha shilingi Milioni 470 awamu ya kwanza anaelezea namna ambavyo ujenzi wa Shule hiyo umeokoa Maisha na ndoto za watoto wengi hususani wa kike wanaishi katika Kata hiyo.


" Nashukuru sana Serikali Kwa kutuletea Shule ya sekondari hususani Kwa watoto wa kike, zamani tulikuwa tunalazimika kwenda umbali wa kilometa 60 kufuata Shule ya sekondari Utete ambapo Wazazi walilazimika kutumia gharama kubwa kutupangia vyumba na kutusafirisha au kutulipia ada ya bweni jambo lililokuwa linasababusha wasichana wengi kijiingiza wenye vitendo viovu na kukatisha masomo. Lakini Sasa hivi kupitia Shule hii Wazazi wetu watapata fursa ya kutusimamia na kutusomesha ." Alisema Mwangaza


Mmoja wa Wazazi wa Watoto wanaotoka katika Kata hiyo Bi.Siyawezi Maftaa anaishukuru Serikali Kwa kuwakomboaa kiuchumi Wazazi wa Watoto katika kata hiyo na kueleza, " awali tulikuwa tunalazimika kutumia sio chini ya laki Sita Kwa mwaka kulipia watoto ela za Mahali pa kulala, kula, mavazi na matumizi madogomadogo lakini Kwa Sasa kupitia shule hii hatutapata Tena shida." Alisema Bi. Siyawezi.


Hata hivyo wanafunzi wamesifia mazingira maziri na ya kisasa katika shule za Sekondari huku wakishondwa kuacha kutoa shukrani Kwa Serikali

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA VIKUNDI July 21, 2022
  • TANGAZO LA USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO September 08, 2022
  • TANGAZO LA JKT 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA YA HALMASHAURI August 24, 2022
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AIPONGEZA HALMASHAURI KWA KUWATETEA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

    January 27, 2023
  • MWENYEKITI WAZAZI CCM TAIFA ASIFU UTENDAJI WA SERIKALI RUFIJI, AWATAKA KUSIMAMIA MIRADI

    January 28, 2023
  • KAMATI YA FEDHA, MIPANGO NA UTAWALA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    January 27, 2023
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LARIDHIA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA BAJETI 2023/2024

    January 27, 2023
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa