• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KAMATI YA USALAMA, WATAALAMU WA HALMASHAURI WATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU

Posted on: February 19th, 2025

Kamati ya usalama ya Wilaya ya Rufiji pamoja na Wataalamu wa halmashauri wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na mwenge wa uhuru ambao katika Wilaya ya Rufiji unatarajiwa kukimbizwa Aprili 5, 2025.

Kamati hiyo iliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba, imefanya ziara hiyo leo Februari 19, 2025, ambapo miongoni mwa miradi waliyoipitia ni pamoja mradi wa ukarabati wa majengo ya hospitali ya Wilaya Utete, mradi wa barabara ya kiwango Cha lami ya Mahakama-kituo Cha Afya Ikwiriri katika Kata ya Ikwiriri pamoja na Kitengo Cha elimu Maalumu katika Shule ya Msingi Rufiji iliyopo Kata ya Mgomba.


Miradi mingine ni Bweni la Wasichana la Shule ya Sekondari Ikwiriri, Mradi wa Vijana wa Kata ya Mgomba - Tarafa ya Ikwiriri wa kufyatua matofali, mradi wa Maji uliojengwa Kijiji Cha Shela Kata ya Mohoro, mradi wa mnada wa Machinjio unaojengwa katika Kijiji Cha Nyamwage Kata ya Mbwara.


Vile vile walitembelea Shule ya Msingi Umwe ambapo yatafanyika mapokezi ya Mwenge wa uhuru, Uwanja wa Ujamaa ambayo itakuwa Sehemu ya mkesha wa Mwenge wa uhuru, Chuo Cha FDC-Ikwiriri takuwa Sehemu ya kupata chai ya Asubuhi pamoja na Shule ya Sekondari Utete ambayo itakuwa Sehemu ya kupata Chakula Cha mchana.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa