• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

HALMASHAURI ZA KIJIJI ZAONYWA KUPOKEA FEDHA ZA WAWEKEZAJI ILI KUFANYA MAAMUZI

Posted on: March 24th, 2023


Na. Emmanuel Kapandila - Mloka, Rufiji.


MKuu wa Wilaya ya Rufiji  Mhe. Meja Edward Gowele ameonya vikali mwenendo wa Halmashauri za Vijiji kupokea fedha kutoka Kwa Watu ambao husubiri maamuzi ya Halmashauri hizo vitendo ambavyo huathiri maamuzi ya Halmashauri hususani katika maswala yanayohitaji kuzingatia maslahi mapana ya Wananchi.


Meja Gowele ameyasema hayo Leo Machi 24.2023 Wakati akizungumza na wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji Cha Mloka Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani ambao walifanya maamuzi ya kutaka kumilikisha ardhi Kwa Mwekezaji kinyume Cha utaratibu.


" ni lazima tufahamu kuwa maamuzi ya Halmashauri ya Kijiji yanabeba maslahi mapana ya Wanakijiji hivyo hayatakiwi kufanywa Kwa ushawishi wa aina yoyote" alisisitiza Mhe. Gowele


Kupitia Kikao hicho Meja Gowele amewataka  Wajumbe kurudisha fedha kiasi Cha Shilingi Milioni Moja waliyolipwa na Mwekezaji mpangaji Ili wakae Kikao Cha kujadili na kupitisha ombi la Mwekezaji aliyepanga ardhi ya Kijiji hicho kupimiwa eneo alilopangishwa wakati Kijiji hicho kina mapato ambayo yangeweza kuendesha Kikao hicho.


" wote mmekiri Kwa maandishi kuwa mlipokea fedha Kwa Mwekezaji na mkagawana Ili mkae Kikao. fedha hiyo haikuwekwa kwenye akaunti ya Kijiji. na kwanini mchukue pesa yake ndo mfanye Kikao wakati Kijiji Kina mapato? hivyo ni vitendo vya Rushwa ambavyo haviwezi kuwaongoza kwenye maamuzi sahihi. kufikia tarehe thelathini pesa yote iwe imerudishwa." alisisitiza Meja Gowele


Hata hivyo, kufuatia tukio Hilo amezitaka Halmashauri zote za Kijiji kutoingia  mikataba na Wawekezaji bila kuhusisha Halmashauri ya Wilaya Ili ikaguliwe na kuhakikisha mikataba hiyo inaleta tija Kwa Wananchi wa Vijiji husika.


Aidha ameagiza kupitiwa Kwa mikataba 32 ya wawekezaji wote wa makambi ya Kitalii Kijijini  hapo Ili kuhakiki uhalali wa mikataba hiyo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa