• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

*DKT. GWAJIMA AMPA KONGOLE DC RUFIJI**Kamati za afya zatakiwa kuamka na kuimarisha usimamizi wa bidhaa za afya

Posted on: October 25th, 2021

Na.WAMJW - DodomaWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee wa Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele  kwa kukamata dawa zenye thamani ya milioni tano (5) kwa watoa huduma za afya ambao sio waaminifu.

Katika mahojiano yake na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini  wizarani hapo, Dkt. Gwajima amempongeza Mkuu huyo wa Wilaya kwa kutumia mbinu zenye ufanisi mkubwa hadi kuwakamata wezi na wahujumu wa bidhaa za afya ambao wamehujumu dawa zenye thamani hiyo."Huu ni mtandao wa watoa huduma za afya, nampongeza sana Meja Gowele  kwa kutumia mbinu hizo hadi kuwakamata,Vile vile nitoe wito kwa viongozi wengine wote wa ngazi mbalimbali ambazo zinaongoza vituo vyetu vya afya ngazi za Taifa, Kanda, Mikoa, halmashauri hadi zahanati kuiga mfano huu wa kuimarisha mbinu za kudhibiti mali za umma na hususani bidhaa za afya.

Aidha, Dkt. Gwajima amesema kuwa kwa nafasi yake kwa kushirikia na wadau wa wizara yake wamesimamia na kuratibu katika kufuatilia  eneo la udhibiti wa bidhaa za afya kwa kina ambapo wataalamu wenyewe wa afya wazalendo walioteuliwa walifanya kazi kubwa ya kufuatilia kwenye hospitali za rufaa za mikoa, halmashauri hadi kwenye zahanati.“Ufuatiliaji uliofanywa mapema mwaka huu, taarifa za utafiti imebaini kweli ubadhirifu upo na ubadhirifu huo unafanywa na mtandao wa baadhi ya watumishi ambao wameamua kuhujumu mali ya umma ikiwemo bidhaa za afya katika vituo vingi nchini, taarifa hii tulionyesha pia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara kwenye bunge la bajeti mwezi June mwaka huu.

Hata hivyo Dkt. Gwajima amesema kuwa Wizara imeanza kuwachukulia hatua za kisheria watoa huduma za afya waliobainika kwenye wizi  na uhujumu za bidhaa za dawa kwa kuwasilisha wanataaluma hao kwenye mabaraza na bodi za kitaaluma ili wachukuliwe hatua ikiwemo kuwaondolea heshima ya kuwa na ile taaluma .”Tunazo taarifa na tutaendelea kuzitoa ili wananchi waone hatuna mchezo kwenye eneo hili” Amesisitiza Dkt. Gwajima...#tumeboreshaafya  #KaziIendelee https://www.instagram.com/p/CVXy3riqFvl/?utm_medium=share_sheet

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa