• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC SAWALA AWATAKA TFS KUYATUNZA MAENEO YA MAMBO KALE KIJIJINI MKONGO

Posted on: January 9th, 2021

Ameyasema hayo wakati wa ziara yake alipotembelea maeneo ya kumbukumbu ya Mkutano Mkuu wa Halmashauri kuu ya Tanu uliofanyika katika kijiji cha Mkongo mwaka 1972 na kutangaza kuanzishwa kwa Vijiji vya Ujamaa nchi nzima baada ya kuona Warufiji wamefanikiwa kuhamia katika Vijiji hivyo mwaka 1968.

Aidha ameagiza TFS kushughulikia utunzaji wa majengo hayo ya kale yenye historia kubwa ya Nchi hasa Nyumba aliyokuwa akifikia Mwl. Nyerere wakati anapotembelea Rufiji, pamoja na uboreshaji wa mnara uliojengwa hivi karibuni ili kuendelea kuenzi historia hiyo. " Ni lazima maeneo haya yahifadhiwe na Wazee hawa wanaosimulia historia ya eneo hili vizuri Watunzwe ili eneo hili liwe ajira yao kwa kupokea watalii wa ndani na nje." ailisema.Ameongeza kuwa maeneo hayo yataongeza kipato kwa Kijiji , kwa Wilaya na kwa Serikali kuu kama patattangazwa Vizuri na kutunza Vizuri.

Sambamba na hilo amehamasisha Wanarufiji ambao hawafahamu historia ya Kijiji hicho kuanza kutembelea ili wapate kuijua historia hiyo kabla ya Watalii wa nje.

Kwa upande wake Mzee Hamisi Mketo ambaye kwa wakati huo alikuwa Mwenyekiti wa pili wa Umoja wa Vijana TANU Wilaya ya Rufiji ametoa maoni yake kuwa ili Kijiji hicho kiendelee. Serikali ione ulazima wa kuanzisha Mji Mdogo ili kuongeza idadi ya watu kutembelea na kufahamu historia iliyobebwa na Kijiji cha Mkongo.Pia ameeleza kuwa kutokana na upatikanaji Mkubwa wa ,matunda ya embe kijijini hapo ni vyema kikajengwa kiwanda cha kuzalisha juisi ili kuwawezesha Vijana kujipatia ajira na kunusuru embe zinazoharibika kutokakana na kukosa matumizi.

Naye Mzee Matimbwa (Mwalimu mstaafu) ameomba kuwe na uhakika wa soko wa zao la ufuta na korosho ili Wananchi wanufaike na kilimo ambacho ndio uti wa Mgongo kijijini hapo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa