• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC KOMBA ALITAKAJ JESHI LA AKIBA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI RUFIJI.

Posted on: August 24th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba, amewataka Askari wa Jeshi la akiba Wilayani Rufiji kuishi katika kiapo walichoapa cha kuendelea kudumisha amani, kuilinda katiba ya Nchi, Nchi na na raia wake huku akiwaonya kutojihusisha na viashiria vya uvunjifu wa amani.

Amesema Jeshi la akiba lina mchango mkubwa katika ulinzi na kudumisha amani ya Taifa, Wilaya na hata katika maeneo wanayoishi kwasababu lipo karibu zaidi na Wananchi.

“kila jambo mtakalolifanya mnatakiwa kuishi kwenye kiapo mlichoapa cha kuilinda katiba, nchi na raia wake na kuendelea kudumisha amani” Alisema DC.


Vilevike, Mhe.Komba aliwataka Askari kuwa wanyenyekevu na kutekeleza maagizo yanayotolewa na Viongozi wa Serikali yakiwemo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


DC Komba alisema hayo wakati akifunga mafunzo ya Jeshi la akiba kwa kundi la 12 Wilayani Rufiji katika uwanja wa Azimio Utete leo Agosti 24, 2025.

Katika hatua nyingine Komba, amewataka Wananchi wa Rufiji kushiriki kampeni na kupiga kura ifikapo mwezi oktoba mwaka huu kwa amani na utulivu.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • Camfed YAPONGEZWA KWA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

    August 30, 2025
  • DC KOMBA ALITAKAJ JESHI LA AKIBA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI RUFIJI.

    August 24, 2025
  • MNYEMA APONGEZA UKARABATI WA HOSPITALI YA WILAYA YA RUFIJI (UTETE).

    August 26, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA RUFIJI WAANZA MAFUNZO RASMI

    August 04, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa