• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC GOWELLE: WATENDAJI WATOE MIFUGO

Posted on: August 25th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowelle amewataka Watendaji kuhakikisha Mifugo iliyopo maeneo ya Kilimo inarudishwa katika maeneo yaliyotengwa kwaajili ya Kilimo.


Akizungumza katika mkutano wa Kusikiliza na kutatua kero za Wananchi mapema Leo katika Kata ya Utete Wilayani humo, Mhe. Gowelle amesema atayari ameanza oparesheni na kuwa Mifugo iliyokamatwa tayari imeshatozwa faini na Utaratibu wa kuelekeza Wafugaji hao maeneo waliyotengewa umefanyika.


Aidha amesema Msako huo utaendelea bila kutoa taarifa hivyo kuwataka Wafugaji kwenda maeneo waliyopoangiwa.


Kwa upande wa ajira kwa watoto Mhe. Gowelle ametoa msisitizo juu ya agizo lake kukataza Watoto wanaojihusisha na uuzaji wa bidhaa maeneo ya stendi na maeneo mengine hasa wakati wa masomo na kuongeza kuwa Wazazi watahusika endapo mtoto atakamatwa anafanya biashara muda wa masomo.


Pia amewataka Wale waliochukua aridhi kiholela bila kufuata taratibu kurudisha aridhi hizo na badala yake wafuate taratibu za umiliki wa ardhi kwa Mujibu wa Sheria.
Sambamba na hilo amewataka Wananchi kuacha kuvamia maeneo ya hifadhi ili yaweze kuwa na tija kwa Vizazi vijavyo.


Gowelle amewataka Watendaji na Viongozi wanaopewa mamlaka ya usimamizi wa miradi kuwa waaminifu katika usimamizi huo na kuepuka upigaji wa dili.
Vilevile amewataka Wananchi kutoa taarifa pale ninapokuwa na viashiria vya Rushwa ili kukomesha kabisa adha hiyo.


Aidha Mhe. Gowelle amewataka Wananchi  kuunga Mkono juhudi za Serikali hasa katika maeneo ya Ujenzi wa Soko na kuongeza kuwa wale ambao wamegoma kuachia maeneo taratibu za uchunguzi zitafanywa ili kujua na kuthibitisha uhalali wa umiliki wa maeneo hayo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa