• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC GOWELLE ATOA SIKU TANO KUFANYA SENSA YA MIFUGO NA KUPELEKA MIFUGO MAENEO YALIYOTENGWA

Posted on: August 31st, 2021


Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Meja Edward Gowelle amewataka Viongozi wa Wafugaji kuhakikisha wanafanya sensa ya Mifugo yote Rufiji pamoja na Wafugaji ikiwa ni pamoja na kutambua Wafugaji wa kudumu na wale ambao wanahamahama ili kutoa maeneo kulingana na mahitaji.


Aidha ameonya Wafugaji kupiga Wakulima na kusisutizaa kuwa maelekezo yatabadilika endapo ahawatatii kuacha tabia ya kupiga Wakulima.
" Sitaki kusikia Mfugaji amempiga mkulima Wala mkulima amempiga Mfugaji. Nikisikia nabadilisha maelekezo." Alisema.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Bw. John Lipesi Kayombo amesema ili kutatua Changamoto ya Wafugaji ni lazima Viongozi wa Wafugaji kusimamia sensa ya Wafugaji pamoja na Mifugo Yao ikiwa ni sambamba na kutambua Wafugaji wa muda mrefu pamoja na wale wanaohamahama.


Kayombo, amewataka Wafugaji kuacha kutoa Rushwa kwa Viongozi wa Vijiji ili wajipatie maeneo badala yake wafuate taratibu za uombaji wa aridhi kwa mujibu wa Sheria.
Pia amesisitiza swala la ulipaji wa ushuru katika minada na kuhakikisha wanapewa risiti ya mashine kuzuia mianya ya upotevu wa fedha za Serikali.


Vilevile, katika uchangiaji wa huduma za kijamii Kayombo amesisitiza Wafugaji hao kuchangia vifaa vinavyohitajika badala ya kupeleka fedha mkononi.


" Msitoe pesa katika kuchangia maswala ya Maendeleo badala yake toeni vifaa vinavyohitajika ili kuzuia mianya ya upotevu wa fedha. Tunataka tuwajue ili tuwawekee mazingira mazuri ya Ufugaji bila kuwasumbua Wakulima. Wafugaji tunawahitaji na Wakulima tunawahitaji katika kuchangia maendeleo. " Alisema.


Naye, Mwenyekiti wa Wafugaji amewataka Wafugaji kukijikita katika Ufugaji wa kisasa ili kupunguza idadi kubwa ya Mifugo Wilayani humo.
Aidha amekemea vikali Wafugaji wakorofi pamoja na wale wanaoingia kinyemela bila kufuata utaratibu.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa