• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC GOWELE ATAKA MADAI YA WAZABUNI NA MAFUNDI YALIPWE KWA WAKATI

Posted on: January 16th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amewataka Watumishi wa Serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, kuhakikisha mafaili yanayohusu malipo ya Wafanyabiashara na na Mafundi wanaofanyakazi na Halmashauri yanafanyiwa kazi kwa Wakati ili kuepusha malalamiko kwa Serikali.

Amesema Wafanyabiashara, maisha yao hayategemei mishahara hivyo kuchelewa kwa malipo yanaweza kusababisha kuua biashara zao.

“inawezekana wewe  kuchelewesha nyaraka ndo umesababisha yeye akose haki yake. Unakaa na nyaraka wiki mbili, nne, tano ndo maana yeye anailaumu serikali!. Hakikisheni document  zinapita kwa haraka ili hawa Watu wapate haki zao. Sitaki nisikie Wafanyabiashara Wanalalamika” amesema.

DC Gowele ameyazungumza hayo jana Janauri 16, 2024 baada ya kusikiliza changamoto za Wazabuni na Mafundi katika Mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji- Utete.

Kauli hiyo ya Mwenyekiti wa Ulinzi na usalama wa Wilaya, imekuja baada ya malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya Wazabuni akiwemo Andrew Kishumba, Mzabuni wa Wiland Company Ltd  ambaye amedai anaidai Halmashauri Shilingi milioni 48 baada ya kusambaza vifaa vya ujenzi katika Shule maalumu ya Mkoa ya  Wasichana Bibi Titi.

Akikiri deni hilo Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Amina Yassin amesema deni hilo lipo kwenye utaratibu wa malipo, na malipo yeke ndani ya wiki mbili yatakuwa yamekamilka.

Mbali na hayo, alipopewa nafasi ya kuzungumza chochote Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, Wilaya ya Rufiji Lawrence Mlaponi amewakumbusha Wazabuni na Mfundi kuepuka kujihusisha na maswala ya rushwa.

Kwaupande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Abdul Chobo amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Rufiji kwa kuandaa mkutano huo ambao umetoa majibu ya kero zilizokuwa zinawakabili Wazabuni pamoja na Mafundi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa