• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC GOWELE AIPONGEZA HALMASHAURI KWA KUWATETEA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Posted on: January 27th, 2023



Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa pongezi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufijij kwa kuwatambua watoto wa kike wanaoishi kwenye mazingira hatarishi. na kuwatengea bajeti kupitia idara ya Elimu kwa ruzuku toka serikali kuu. 


Meja Gowele ameyasema hayo wakati wa kufunga warsha ya siku mbili ya kuwajengea umahiri walimu wa Shule za Sekondari .Januari 27. 2023 ambapo katika tukio hilo alikabidhi taulo za watoto wa kike 258 wa shule za sekondari wanaoishi kwenye mazingira hatarishi.


" nitoe pongezi za dhati kwa Halmashauri kuendelea kufanya jitihada ya kuibua na kusaidia watoto wenye mahitaji na kuwatengea bajeti ili kuweza kuwatetea na ugumu wa maisha unaopelekea watoto wengi wa kike kushindwa kufikia malengo yao." alisema Gowele


Sambamba na  hayo Meja Gowele ametoa pongezi kwa Walimu kwa namna wanavyojitoa kuhakikisha watoto wanapata malezi na elimu bora.


Ameongeza kwa kumtaka Mkurugenzi Mtendaji kutenga bajeti na kuona namna ya kuboresha mchakato wa uandaaji wa mitihani ya ndani kuanzia kwenye utungaji hadi usahihishaji ili kuwawezesha walimu kupata matokeo ya ndani yatakoonesha uhalisia kwenye matokeo ya mitihani ya Taifa.


Akitoa taarifa fupi kwa Niaba ya Afisa Elimu Sekondari, Afisa Maendeleo ya Jamii Mwanahamisi Lyana amesema kutokana na uwepo wa idadi kubwa ya Watoto wa kike wanaotoka katika mazingira hatarishi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji iliona haja ya kutenga bajeti kupitia ruzuku ya Serikali kuu ili kuwawezesha watoto hao.


Ameongeza kuwa taulo hizo za kike zitasaidia watoto wa kike kuwa na hedhi salama na kupunguza utoro uliokuwa unasababishwa na kukosekana kwa vifaa hivyo kwa watoto hao. 


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa