• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Camfed YAPONGEZWA KWA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

Posted on: August 30th, 2025

Afisa Tarafa ya Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani, Bi. Emmy Rajabu amelipongeza Shirika la  'Camfed' kwa namna linavyoshirikiana na Serikali kwa kufadhili Wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi, Sekondari mpaka vyuo Ili waweze kutimiza ndoto zao Kupitia elimu.

Camfed ni Shirika lisilo la Kiserikali linajihusisha na ufadhili kwa Watoto wa kike kuhusu maswala ya elimu, kuanzia elimu ya Msingi, Sekondari na Vyuo.

Emmy alitoa pongezi hizo Jana Agosti 30, 2025 alipomwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Rufiji katika sherehe za CAMA,  Watu waliowahi kufadhiliwa na shirika la Camfed wakiwa Shuleni Rufiji na Kibiti, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi FDC-Ikwiriri.

"nawapongeza sana kwa kuwashika Mkono Wanafunzi na wanaweza kufikia ndoto zao na tunapata Wasomi wengi kutokana na Msaada wenu.


Vile vile akitoa pongezi kwa Taasisi hiyo kwa kutoa elimu ya kujiajiri katika maswala ya biashara na ujasiriamali.

"Camfed mnashikiriana vizuri sana na Serikali hususani katika Wilaya yetu hii ya Rufiji, nawapongeza kwa Mafanikio yote uliyoyapata" Emmy

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • Camfed YAPONGEZWA KWA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

    August 30, 2025
  • DC KOMBA ALITAKAJ JESHI LA AKIBA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI RUFIJI.

    August 24, 2025
  • MNYEMA APONGEZA UKARABATI WA HOSPITALI YA WILAYA YA RUFIJI (UTETE).

    August 26, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA RUFIJI WAANZA MAFUNZO RASMI

    August 04, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa