• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

BIBI TITI MOHAMED HAKUWA MNYONGE, NIWAOMBE WARUFIJI TUKAISHI MAISHA YA BIBI TITI.

Posted on: December 14th, 2024

BIBI TITI MOHAMED HAKUWA NNYONGE, NIWAOMBE WARUFIJI WENZANGU TUKAISHI MAISHA YA  BIBI TITI MOHAMED - MCHENGERWA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wa Wananchi wa Rufiji kujitoa katika kufanya kazi kwa bidii ili kujenga uchumi wa Rufiji na kuongeza kuwa Bibi Titi hakuwa Mnyonge alikuwa mchapaka kazi na mpambanaji katika Taifa hili.


"tutahakikisha historia ya Bibi Titi Mohamed imeandikwa kwa Taifa hili kwa makubwa aliyoyafanya. Bibi Titi hakuamini katika unyonge, Bibi Titi hakuwa Mnyonge. Nataka niwaambie Warufiji Msiwe wanyonge" alisisitiza Waziri Mchengerwa.

Mhe. Mchengerwa aliyasema hayo mbele ya maelfu ya Wananchi wa Rufiji waliojitokeza kwa wingi kufunga Maadhimisho ya siku tatu ya Tamasha la Bibi Titi Mohamed katika Uwanja wa Ujamaa- Ikwiriri leo Disemba 14, 2024, ambalo lilianza toka Disemba 12.

Mchengerwa aliwambia Wananchi wa Rufiji kuwa wana uwezo Mkubwa wa kulima, kusoma pamoja na kufanya kazi nchini, huku akiwataka kuishi katika maisha ya Bibi Titi Mohamed ya kufanya kazi kwa bidii.

"Kila mmoja wetu tukitoka hapa kwende tukafanye kazi. Bibi Titi alikuwa Tajiri, Bibi Titi alikuwa Mfanyabiashara, Bibi Titi hakuwa Masikini, alifanya kazi kwa bidiiniwaombe Warufiji Wenzangu tukaishi maisha ya Bibi Titi Mohamed. " alisema Mchengerwa.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa