• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

BARAZA LA WAFANYAKAZI RUFIJI LAPITISHA MAPEKENDEKEZO YA RASIMU YA MIPANGO, BAJETI

Posted on: January 31st, 2024


Baraza la Wafanyakazi Wilayani Rufiji lapitisha mapendekezo ya Rasimu ya Mpango na bajeti yenye jumla ya shilingi 27,715,508,240.00 ya Halmashauri Kwa mwaka wa fedha 2024/25 huku shilingi 6,015,037,240.00 kati ya fedha hizo ni mapato ya ndani yanayotarajiwa kukusanywa.

Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/24  julai - Desemba 2023 Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu Pius Magoti amesema katika kipindi hicho Halmashauri imepokea fedha jumla ya shilingi 14,512,928,062.96 sawa na asilimia 54 ya lengo la mwaka 54  toka Serikali kuu, Wahisani, pamoja na mapato ya ndani.

" Hata hivyo mafanikio katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Halmashauri imetekeleza Kwa asilimia 59.9 ya lengo la mwaka." Aliongeza Magoti.

Akizungumza wakati wa kuahirisha kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Rufiji  Simon Berege ametoa rai kwa viongozi wa Wafanyakazi na wanafanyakazi kushikamana Ili kufanyakazi Kwa Juhudi na ufanisi.

" Tutakaposhikamana tutafanyakazi vizuri, sisi ndio sehemu ya Wafanyakazi. Tunamshukuru sana Mhe. Rais miradi mingi imekuwa ukitekelezwa hapa kwetu Rufiji." Alisisitiza Berege.

Kwa upande wao wajumbe wa Baraza hilo wametoa pongezi kwa namna ambavyo bajeti hiyo imegusa maeneo yote hususani upande wa maslahi ya Watumishi ambapo katika utekelezaji wake itapunguza changamoto nyingi zinazowakabili wafanyakazi


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa