• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

AMERICARES WATOA MSAADA RUFIJI

Posted on: June 25th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Meja Edward Gowele amepokea msaada wa magodoro, neti, ndoo pamoja na madawa muhimu na vifaa tiba kutoka shirika la Kimataifa lisilo la kiserikali ‘americares Tanzania’ walioshirikiana walioshirikiana na  Red cross Tanzania vyenye thamani ya shilingi 100, kwa ajili ya kusaidia Wahanga wa mafuriko Rufiji.

“Mhe. Mkuu wa Wilaya, siku ya leo kwa Kushirikiana kwa Kushirikiana na wenzetu wa Red Cross Society, tumeleta msaada wa kibinadamu ikiwemo Magodoro, neti, ndoo lakini pia kunadawa muhimu na vifaa tiba na tumejenga uwezo wa Wafanyakazi wa Red Cross katika kutoa msaada wa kisaikolojia” alizungumza Dkt. Ben Ngereza Mwakilishi wa Shirika la americares.


Gowele alipokea msaada huo jana Juni 25, 2024 katika viwanja vya Chuo cha maendeleo ya Wananchi FDC- Ikwiriri huku akiishukuru shirika hilo kwa msaada walioutoa kwa ajili ya Wananchi walioathirika na kuwahahakikishia kuwa utafika kwa walengwa.

“lakini lazima tumshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyotushika mkono tangu tuliapoanza mafuriko mpaka tumefika leo, tumepata misaada mingi ya chakula mavazi na makazi. Tulikuwa na changamoto kubwa zaidi ya Watu 74,638 walikuwa wameathirika, lakini Kaya 18, 560 walikuwa wameathirika kutokana na mafuriko haya” alisema Mhe. Gowele.

Akizungumzia hatua zinazochukuliwa ili kuhakikisha Wananchi ambao makazi yao yaliathirika na mafuriko kutokana na kujenga maeneo ya mabondeni, DC Gowele alisema serikali ya Kijiji na Kata waliomba eneo la Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) lenye heka zaidi ya 150 kwa ajili ya kutoa viwanja bure.

“Serikali kupitia serikali ya Kijiji na Kata waliomba eneo la TFS lenye heka zaidi ya 150 ambalo tuligawa viwanja bure, na ndo maana tunawahamasisha watoke maeneo ya mabondeni ili hali isiendelee kujirudia mwaka hadi mwaka. Lakini bado tumeendelea kuomba kwenye serikali yale maeneo ya hifadhi, tumeshaomba zaidi ya heka 300 ili hawa tuonaowagawia viwanja waweze kufanya shughuli zao za kiuchumi kama kilimo na ufugaji” aliongeza.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa