• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

ADRA WATOA MSAADA KWA KAYA 250 ZILIZOATHIRIKA NA MAFURIKO

Posted on: October 24th, 2024

Shirika la Maendeleo na Misaada la Waadventista, Wasabato (ADRA) limetoa msaada wa fedha kiasi cha shiligi 368,000 kwa Kila  kaya iliyochaguliwa kati ya 250 zilizoathirika na mafuriko wakati wa masika ili ziweze kuwasaidia katika mahitaji yao mbalimbali ikiwemo maandalizi ya msimu wa kilimo na ununuzi wa mbegu.

Miongoni mwa vigezo vilivyotumika ni pamoja na Wananchi waliopoteza vitega uchumi wakati wa mafuriko, Kaya zenye Watu wanaoishi na ulemavu, kaya zilizopo katika mpango wa kaya Masikini TASAF, kaya zenye familia zinazoongozwa na Wanawake, Familia zenye washiriki Wazee.

Akizungumza Askofu wa Kanisa la Waadventista amesema wametoa misaada hiyo Rufiji kwasababu waliguswa na maisha ya baadhi wa Wananchi walioathirika na kupoteza Mali zao wakati wa Mafuriko.

Shirika hilo la kibinadamu la Kimataifa limetoa msaada huo leo Oktoba 24, 2024 Katika viwanja vya ofisi ya zamani ya Kata ya Chemchem ambapo wanawake 126 na Wanaume124 wamepatiwa msaada.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba ameishukuru shirika la ADRA kwa kuwajali Wananchi wa Rufiji.

“nitumie fursa hii kuwashukuru sana Shirika la ADRA kwa kutujali sisi Wananchi wa Rufiji kwa kitendo chao cha kuguswa na janga la mafuriko ambalo lilitukumba wakati wa msimu wa masika, Ahsante sana kutujali na kututhamani” alisema DC komba.

Pamoja na hayo Mhe. Komba alitoa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo la Rufiji kwa namna wanavyoimarisha mahusiano na Taasisi mbalimbali.

Awali Diwani wa Kata ya Chemchem Ally Manganje aliishukuru ADRA kwanamna ilivyogusa maisha Ya Wananchi waliokumbwa na mafuriko wakiwemo wa Kata ya Chemchem.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa