• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

300 WATIBIWA MACHO BURE

Posted on: October 2nd, 2020

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Geriad  Ismael Mgoba amezindua Huduma ya matibabu ya macho inayotolewa na Club ya Lions Dar es salaam Mzizima katika katika Kituo cha Afya Nyaminywili kilichopo kilichopo kata ya Kipugira Wilayani Rufiji. 
Club ya Lions inatoa matibabu hayo kwa muda wa siku tatu na kwa siku ya Jana tu wamehudumia watu zaidi ya 300 kutoka kata za mwaseni na Ngorongo na kati yao wagonjwa takribani 23 wamepatiwa huduma ya upasuaji wa mtoto wa jicho.
Matibabu hayo yanakwenda sambamba na utoaji wa miwani bure, dawa , upasuaji, pamoja na chakula kwa wale wanaopatiwa huduma kituoni hapo bila kulipa gharama yoyote. 
Akizungumza katika tukio hilo, Rais wa Club ya Lions Bw. Hitesh Solanki amesema matibabu yamelenga kuwasaidia watu wote  wanaosumbuliwa na tatizo la macho hususani wale wanaokosa matibabu kwasababu ya kushindwa kulipia gharama za matibabu.
Kwa Upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt. Ally Zuberi Mbikilwa ametoa Shukrani kwa Uongozi wa Club ya Lions kwa kukubali kuja Rufiji na Madktari Bingwa kushirikiana na Serikali kutoa huduma na kuongezea kuwa anaendelea kufanya mawasiliano na wadau wengine ili kuendelea kuja Rufiji na kutoa huduma za Afya ambazo ni Changamoto kwa Wananchi wa Rufiji.
Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Geriad  Ismael Mgoba ametoa Shukrani kwa Club na kuwaomba kurudi tena kuhudumia vituo vyenye watu wengi ili kuwafikia Wananchi wengi zaidi. Aidha mmoja wa wagonjwa aliyepatiwa huduma hiyo ameishukuru Serikali pamoja na club ya Lions kuwasaidia Wananchi na kupendekeza kuwa huduma hiyo ingetolewa kila mwaka." Kama unavyoona watu tumefurika na tumesafiri kutoka vijiji vya mbali kufuata huduma hii kwakweli tunashukuru sana na imetusaidia sana na tunaomba itolewe walau Mara moja kila mwaka." Alisema.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa