• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KILA KIJIJI CHA UVUNAJI KIPANDE MITI 500 KILA MWAKA-DC GOWELE

Posted on: July 1st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Meja Edward Gowele ameaagiza Wenyeviti wa Vijiji na Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanasimamia kila Kijiji cha uvunaji wa misitu inapandwa miti 500 katika maeneo yao ili kuendelea kutunza mazingira.

Gowele alitoa maagizo hayo katika kikao kazi cha uvunaji wa misitu (TFS) kwa mwaka 2024/2025 kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi FDC-Ikwiriri Jumapili Juni 30, 2024, baada ya kuona uvunaji wa miti misituni kuwa mkubwa kuliko miti inayopandwa.

“Kila Kijiji kisipungue miti 500, nendeni mkasimamie upandaji wa miti na nipate taarifa kila aliyejisajili hapa nipate taarifa yake (wafanyabiashara ya uvunaji miti), kwanza makakati wake wa kupanda miti, ili kufukia malengo ya miti 1,500,000. Kila mmoja apewe jukumu la kupanda miti” alisisitiza DC Gowele huku aliendelea kusisistiza kujua muendelezo wa miti inayopandwa katika Kijiji husika.

Katika hatua hiyohiyo DC aliwataka Wenyeviti wa Vijiji na Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawatambua watu wanaosafisha

“kila Mwenye kiti wa Kijiji na Mtendaji wa Kijiji tambua mashamba yanaenda kusafishwa katika eneo eneo lako, yapatiwe vibali kwa mujibu wa taratibu vya kufyeka miti, kuna miti mengine ipo kwenye mashamba lakini haitakiwi kukatwa, lazima TFS wajiridhishe miti yote inakatwa au mengine inabaki” aliongeza Gowele.

Kwa upande wake Mhifadhi wa Misitu Wilaya ya Rufiji Francis Kiondo aliendelea kuweka mkazo suala la upandaji wa miti katika kila kijiji kinachovunwa misitu ili kuendelea kutunza mazingira kwa kuotesha uoto wa asili, huku akiwataka Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji pamoja na Watendaji katika maeneo hayo kuanza kupanda miti pindi mvua za vuli zinapoanza.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MWAKILISHI WA MSAJI WA VYAMA VYA SIASA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA RUFIJI

    September 08, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI RUFIJI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUPITIA NA KUFANYA MABADILIKO MADOGO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI

    September 08, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI MKATABA WA LISHE CHAFANYIKA

    September 03, 2025
  • Camfed YAPONGEZWA KWA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

    August 30, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa