• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

VIONGOZI HUDUMIENI WANANCHI: Lt. Col. Patrick Sawala

Posted on: April 6th, 2021

.Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Lt. Col. Patrick Sawala amewataka Viongozi hasa Wenyeviti kuhakikisha wanatoa huduma kwa Wananchi na kuacha kuingiza migogoro inayowaumiza Wananchi.Ameyasema hayo Jana tar.06/04/2021 katika Kijiji Cha Mgomba Kaskazini kitongoji Cha Mpina aliposimama kusikiliza Kero za Wananchi akiwa njiani kuelekea katika ziara yake ya Ukaguzi wa Mradi wa Umwagiliaji Segeni uliojengwa katika Kijiji Cha Mbunju Mvuleni.Wananchi hao wameeleza kero ya Wizi wa kutumia silaha upiokithiri katika eneo lao, majibu machafu ya Viongozi, pamoja na kuKosa msaada wa karibu kutoka kwa Viongozi pale wanapokuwa na shida.Pamoja na Mifugo kuingia katika mashamba matatu ya Wananchi na kuharibu mazao yao na Viongozi kusuasua katika kufuatilia taratibu za kisheria ili Wananchi hao wapate haki zao.Akijibu kero zao, Mkuu wa Wilaya amemuagiza OCD kuhakikisha polisi kata pamoja na vyanzo mbalimbali vya taarifa kushirikiana na Wananchi hao ili Mwizi huyo akamatwe Mara moja. Pia amemtaka OCD kuhakikisha Mfugaji aliyesababisha hasara kwa Wakulima hao anakamatwa na kuchukuliwaa hatua za kisheria.Pia amewataka Viongozi kutatua Changamoto za Wananchi badala ya kuwaacha Wananchi wanahangaika na kusubiri Viongozi wa ngazi za juu.Sambamba na hilo ameahidi kufanya Mkutano na Wananchi hao tarehe 10/04/2021 siku ya jumamosi ikiwa ni pamoja na kufuatilia utekelezaji wa maagizo aliyotoa.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa