• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MTAA WA RUFIJI JIJINI MWANZA - MADIWANI WASHANGAZWA

Posted on: June 9th, 2022

MTAA WA RUFIJI JIJINI MWANZA - MADIWANI WASHANGAZWA

wakiwa katika ziara ya Mafunzo jijini Mwanza madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, viongozi wa chama pamoja na wataaalamu walishikwa na mshangao pale walipopita katika moja ya barabra za jiji la Mwanza na kuona Mtaa wa Rufiji jambo lililowafanya kufunga safari maalumu katika mtaa huo na kutaka kujua sababu ya Mtaa huo kupewa jina la Mtaa wa Rufiji.


Akiuelezea Mtaa wa Rufiji Meya wa Manispaa wa Jiji la Mwanza Mstahiki Sima Constane Sima alisema, Mtaa wa Rufiji ni moja kati ya mitaa iliyoasisiwa na wenyeji wa Rufiji waliowahi kuishi Mwanza miaka ya zamani na kuongeza kuwa Mtaa huo ni miongoni mwa mitaa iliyochangamka na yenye gharama kubwa kwa nyumba za kupanga na hata viwanja vyake.


Naye Mwenyekiti wa Mtaa huo aliongeza kuwa Warufiji waliweza kujenga msikiti wa udongo ulioitwa msikiti wa Rufiji ambapo baadae ulijengwa vizuri na kuitwa Msikiti wa Sheikh Amin

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Juma Ligomba amesema manufaa ya zoezi la anuani za makazi limekuwa lenye manufaa makubwa kwani bila kuona jina la mtaa huo wasingweza kuonana na Warufiji waliopo Jijini Mwanza ambao waliondoka Rufiji miaka mingi iliyopita na kurowea jijini humo.


Aidha ametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza zoezi hilo kwa mafanikio makubwa katika utekelezaji wa zoezi la anuani za makazi na kuendelea kusisitiza kujiandaa kwa sensa ya watu na makazi itakayofanyika agosti 23 mwaka huu.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa