• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TAARIFA YA UJENZI WA ZAHANATI YA NYAWANJE

Start Date: 2022-02-12
End Date: 2022-06-12


 Kwa mwaka wa fedha 2021/2022Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ilipeleka fedha kiasi cha Shilingi 50,000,000.00 katika akaunti ya Kata ya Chemchem kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Nyawanje, Ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mh. Waziri wa OR – TAMISEMI kwenye kitabu cha bajeti cha mwaka wa fedha 2021/2022. Fedha hizi zimetolewa la Halmashauri kutoka mapato yake ya ndani. 

Ujenzi wa Zahanati ya Nyawanje ulianza tarehe 12.02.2022 na unatarajiwa kukamilika tarehe 12.06.2022. Ujenzi huu unatekelezwa kwa mfumo wa “Force Account” na fundi anayetekeleza mradi huu anaitwa Omary Masudi Mbonde. 

 

Mpaka sasa kiasi cha Shilingi. 33,072,500.00 zimekwishatumika, ikiwa  ununuzi wa vifaa imetumika Shilingi 30,272,500.00 na malipo ya fundi imetumika Shilingi. 2,800,000.00. Kiasi cha fedha kilichobaki ni Shilingi 16,927,500.00 ambazo bado zinaendelea kutumika kwani ujenzi bado unaendelea. 

Kukamilika  kwa mradi huu kutapunguza adha ya wananchi kutembea umbali wa Zaidi ya kilomita 20 kufuata huduma za Afya katika Hospitali ya Wilaya iliyopo Utete. Pia kutapunguza sana vifo vitokanavyo na Uzazi.

Changamoto  ni kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi, uchakavu wa miundombinu ya barabara kutoka Utete mpaka Nyawanje ambayo haipitiki hasa kipindi cha masika, Ukosefu wa maji ya uhakika katika eneo la Mradi.

Changamoto hizo zimetatuliwa kama ifuatavyo; Kushindanisha wazabuni ili kupata mwenye bei nafuu, kusafiriasha vifaa vya ujenzi kwa kutumia guta, kuweka matenki ya maji eneo la mradi na kutumia guta kushota maji.

 

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa