• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MRADI WA UJENZI WA VYUMBA VIWILI (2) VYA MADARASA NA OFISI YA WALIMU NA VYOO MATUNDU SITA (6) SHULE YA MSINGI UTETE

Start Date: 2021-03-03
End Date: 2021-06-03

MRADI WA UJENZI WA VYUMBA VIWILI (2) VYA MADARASA NA OFISI YA WALIMU NA VYOO MATUNDU SITA (6) SHULE YA MSINGI UTETE

 

UTANGULIZI 

Shule ya Msingi Utete ilipokea fedha kiasi cha Tshs. 46,600,000.00(milioni arobaini na sita na mia sita elfu tu za ujenzi ikiwa Tshs 46,000,000.00 ni za ujenzi wa madarasa mawili na Tshs 6,600,000 ni za ujenzi wa matundu 6 ya choo. Fedha hizi zilipokelewa tarehe 26 Novemba, 2020.

  •  MKATABA  WA  USIMAMIZI WA MRADI
  • Ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa, ofisi ya walimu na vyoo matundu sita (6) unatekelezwa kwa mfumo wa manunuzi wa Force Account. Aidha, ujenzi wa vyumba hivi vya madarasa unajengwa na kikundi cha Bravo Arts Works kwa gharama ya Tshs 6,500,000.00 (million sita laki tano tu). Aidha kutokana na changamoto ya kutokuwepo kwa vyoo vya walimu shuleni kamati ilikubaliana kutumia shimo lililopo sasa kwa ajili ya vyoo hivyo na badala yake gharama ya kujenga shimo itumike kujenga tundu mbili za vyoo kwa ajili ya walimu,hivyo kamati iliingia Mkataba na kikundi cha Lugongwe Construction Group kwa ajili
  • ya ujenzi wa matundu nane ya vyoo kwa gharama ya Tshs 1,950,000.00 millioni moja na laki tisa na hamsini elfu tu kwa ujenzi huo.
  •  
  • UGHARIMIAJI WA MRADI
  • Mradi huu wa ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa, ofisi ya Walimu na vyoo umegharamiwa na Serikali kuu kupitia mpango wa Elimu ya Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R).

 LENGO LA MRADI 

Kukamilisha ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa na ofisi ya Walimu na vyoo.

  •  HATUA YA UTEKELEZAJI WA MRADI 
  • Ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa, Ofisi ya walimu na vyoo ulianza tarehe 03/03/2021 baada ya taratibu za kuweka vifungu vya utumiaji wa fedha hizi katika mfumo wa FFARS kukamilika, mkataba wa ujenzi unatakiwa kukamilika tarehe 03/06/2021,
  • Mradi huu wa ujenzi wa madarasa mawili (02), ofisi ya walimu na vyoo uko katika hatua ya ukamilishaji wa boma.

GHARAMA ZA UJENZI: 

Ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa na Ofisi ya walimu utakapokamilika utagharimu Tshs 40,000,000.00 ikiwa gharama za mafundi ni Tshs. 6,500,000.00 na gharama za ununuzi wa vifaa na huduma nyingine ni Tshs. 33,500,000.00

Aidha, gharama za ujenzi wa vyoo ni Tsh 6,600,000 ikiwa mafundi ni Tshs 1,950,000 na ununuzi wa vifaa ni Tshs 4,650,000.

Aidha jumla ya gharama ni Tsh 46,600,000.00

 Hadi sasa fedha iliyotumika ni Tshs. 20,311,600.00 kwa mchanganuo ufuatao-:

  • Ununuzi  vifaa vya ujenzi    Tshs17,611,600.00
  • Malipo ya awali ya fundi     Tshs 2,700,000.00
  • Bakaa iliyopo Benki            Tshs 26,288,400.00
  •  

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa