• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MRADI WA UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA NA MATUNDUU YA VYOO SHULE YA MSINGI MUUNGANO

Start Date: 2021-02-24
End Date: 2021-04-05

MRADI WA UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA NA MATUNDUU YA VYOO  

SHULE YA MSINGI MUUNGANO 

JINA LA MRADI: 

Ujenzi wa Vyumba 02 vya Madarasa na Ofisi

  •  MKATABA WA USIMAMIZI WA MRADI
  • Ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa na matundu nane ya vyoo unatekelezwa kwa mfumo wa manunuzi wa Force Account. Aidha, Ujenzi wa vyumba hivi vya madarasa unajengwa na kikundi kiitwacho Mnondo Group kwa gharama ya Tshs 6,000,000.00. Ujenzi wa matundu nane ya vyoo unajengwa na fundi aitwaye Eli Abuponsie Swila kwa gharama ya Tshs 2,400, D: UGHARIMIAJI WA MRADI
  • Mradi huu umegharamiwa na Serikali kuu kupitia mpango wa Elimu ya Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R).

 LENGO LA MRADI 

  • Kukamilisha ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa na matundu nane ya vyoo kwa ubora na umadhubuti wa hali ya juu.
  •  
  •   HATUA YA UTEKELEZAJI WA MRADI 
  • Ujenzi wa vyumba viwili (02) vya madarasa ulianza tarehe 24/02/2021 baada ya taratibu za kuweka vifungu vya utumiaji wa fedha hizi katika mfumo kukamilika, ujenzi unatakiwa kukamilika tarehe 24/04/2021, hata hivyo mpaka sasa ujenzi uko katika hatua ya ugongaji wa mbao za sailing board (blundering).
  • Kwa upande wa ujenzi wa vyoo mkataba ulianza tarehe 05/03/2021 na ulitakiwa kukamilika tarehe 05/04/2021 hadi sasa ujenzi wa vyoo uko katika hatua ya umaliziaji.

 

 

 

GHARAMA ZA UJENZI WA MADARASA MAWILI: 

Ujenzi wa vyumba vya madarasa utakapokamilika utagharimu Tshs 40,000,000.00 ikiwa gharama za mafundi ni Tshs. 6,000,000.00 na gharama za ununuzi wa vifaa na huduma nyingine ni Tshs. 34,000,000.00

Aidha, mpaka sasa fedha iliyotumika ni Tshs. 31,386,700.00 kwa mchanganuo ufuatao-:

  • Ununuzi  vifaa vya ujenzi    Tshs 27,586,700.00
  • Malipo ya awali ya fundi     Tshs 3,800,000.00
  • Bakaa iliyopo Benki            Tshs 8,613,300.00

Aidha, Kwa upande  wa ujenzi wa vyoo utakapokamilika  utagharimu Tshs 8,800,000.00 ikiwa gharama za mafundi ni Tshs. 2,400,000.00  na gharama za ununuzi wa vifaa na huduma nyingine ni Tshs. 6,400,000.00

Aidha, mpaka sasa fedha iliyotumika ni Tshs. 8,528,500.00 kwa mchanganuo ufuatao -:

  • Ununuzi  vifaa vya ujenzi    Tshs  6,248,500.00
  • Malipo ya awali ya fundi     Tshs 2,280,000.00
  • Bakaa iliyopo Benki            Tshs. 271,500.00
  • MANUFAA
  • Ujenzi wa madarasa unaendelea vizuri na upo katika hatua ya ugongaji wa mbao za sailing board (blundering). Mafanikio yanayotarajiwa ni kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani na kuvutia wanafunzi kupenda shule na hivyo kuongeza mahudhurio.
  • Ongezeko la matundu ya vyoo litaininua upatikanaji wa elimu bora shuleni kwa kuhakikisha uwepo wa mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia.
  •   

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa