• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAZIRI MCHENGERWA ABORESHA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MOTO KUEZEKWA KWA BATI

Posted on: September 4th, 2021


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa ametembelea Waathirika wa Moto kitongoji cha shauri Moyo kata ya Mbwara Wilayani Rufiji na kutoa msaada wa bati 800 ambapo bati 600 zitatumika kuezeka nyumba 19 za Waathirika wa eneo hilo na nyingine kwenda kwenye maeneo mengine yaliyoathiriwa na Moto Wilayani humo.


Akizungumza wakati wa kukabidhi bati hizo Mhe. Mchengerwa amesema ameamua kubadilisha nyumba hizo ambapo awali zilikuwa za nyasi ili kuboresha makazi ya Waathirika hao na kupunguza kiwango Cha hatari ya nyumba kushika Moto kwa urahisi.

"Leo pamoja na Mambo mengine nimekuja kutoa sadaka ya bati kwa familia zote ambazo zimeathirika, Kama Mhe. Diwani anavyosema nyumba nyingi zimeathirika kutokana na Kuezekwa kwa  nyasi, tumeanua kubadilisha kutoka kwenye nyasi kwenda kwenye bati pengine zinaweza kusaidia kupunguza athari za moto usiathiri Sana." Alisema.
Aidha amewataka Wananchi kuzingatia ufanyaji wa Usafi kwenye maeneo ili kupunguza athari za moto kuwa kubwa zaidi." Tunaendelea kukumbushana kwamba ni vyema tukaendelea kufanya Usafi kwenye maeneo yetu ili kupunguza athari za moto." Alisema. 


Katika hatua hiyohiyo Mhe. Mchengerwa amekabidhi msaada toka kwa kampuni na Mdau wa maendeleo Rufiji ambapo ametoa Chakula ( Mchele na Unga), Mafuta ya kupikia, magodoro, pamoja na sukari kwa Waathirika wote wa janga la Moto.Mhe. Mchengerwa amewashukuru wadau hao na kuwakaribisha wadau wengine watakaoguswa na tukio hilo kuendelea kutoa msaada kwa Waathirika hao.
Kwa upande wake Diwani wa Kata ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Ligomba ametoa shukrani kwa Mhe. Mchengerwa kwa kuboresha makazi ya Wananchi wake toka kwenye nyumba za nyasi na kuezekwa kwa bati.


 Zainab Kapilima pamoja na Abdalla Msango wametoa shukrani zao kwa Serikali kwa kuwajali.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa