• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA BARABARA YA UTETE-NYAMWAGE

Posted on: October 24th, 2024

Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa ametembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayojengwa Wilayani Rufiji ukiwemo ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage yenye urefu wa km 33.7 inayojengwa kwa kiwango cha lami.

Akizungumza baada ya kuangalia maendeleo ya barabara hiyo Mhe. Bashungwa, aliwataka Wakandarasi kufanya kazi kwa ufanisi ili kukamilisha kwa wakati  ujenzi wa barabara hiyo ambayo itaunganisha mawasiliano ya Utete kuelekea Nyamwage pamoja na kukuza uchumi wa Wananchi.

"Rais Samia Suluhu Hassani anataka kuifungua Barbara hii na ameleta fedha nyingi, Ili barabara hii isadie kuinua uchumi wa Wananchi" alisema Bashungwa.

Mradi mwingine alioutembelea leo Oktoba 24, 2024 ni pamoja na ukarabati wa hospitali ya Wilaya ya Utete na kuweka jiwe la msingi katika Shule ya Sekondari Rufiji iliyopo Kata ya Ikwiriri, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Mkoa wa Pwani.

Amesema Rais Samia Suluhu Hassani analeta fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Rufiji huku akitoa wito kwa Wananchi wa Rufiji kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

"kwakweli Rufiji inabadilika na Kuna miradi mingi ya maendeleo inatekelezwa, niwaombe Wananchi tuwaunge mkono Viongozi" alisisitiza Bashungwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuleta fedha nyingi katika Mkoa wa Pwani kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Wananchi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa