• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WATENDAJI KATA NA MAAFISA UVUVI WAKABIDHIWA PIKIPIKI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI

Posted on: January 26th, 2022

I.Na Emmanuel Kapandila - Rufiji

Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amekabadhi pikipiki 22 kwa watendaji wa kata 13 za Wilaya ya Rufiji, Afisa Mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo pamoja na maafisa uvuvi  ili kusogeza huduma bora kwa Wananchi Wilayani humo.

Akizungumza wakati wa kukabidhi pikipiki hizo Mhe. Mchengerwa amesema ugawaji wa pikipiki hizo, unatekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha serikali inatoa huduma bora kwa Wananchi.

" hii ni sehemu ya kuwezesha huduma bora kwa wananchi. kwahiyo tunawataka watendaji kwenda kutoa huduma bora kwa wananchi.hatutegemei kusikia mwananchi ana kero ya kawaida mtendaji ameshindwa kwenda kumsikiliza." alisema 

Mchengerwa.

Awali akisoma taarifa fupi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri John Lipesi Kayombo amesema, katika kuboresha huduma kwa jamii kwa mwaka afedha 2021/2022 Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ilitenga jumla ya fedha shilingi milioni 63 kwa ajili ya ununuzi wa pikipiki 22 zikiwemo pikipiki mbili za miguu mitatu kwaajili ya usafi wa mazingira.

Kayombo ameongeza kuwa, Mkakati wa Halmashauri ni kuendelea kuboresha huduma kwa wananchi kwa kuhakikisha watendaji wa Kata na Vijiji wanawafikia wananchi kwa wakati.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amesema Uongozi wa Wilaya ya Rufiji utaendelea kufuatilia na kutekeleza malengo ya Rais Mhe. samia suluhu hassan  katika kuhakikisha wananchi wake wanapatiwa huduma bora.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Ligomba amesema Halmsahauri haitomvumilia mtendaji atakayeweka maslahi binafsi kwa vyombo hivyo badala ya kutumia katika kutoa huduma kwa wananchi.

Lamudi Ngaruburwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mdogo ameishukuru Halmashauri kwa kuboresha na kurahhisisha utendaji kazi na kuahudi kuongeza kasi ya utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa