• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WATAALAM WA TEHAMA PWANI WATATUA CHANGAMOTO ZA MIFUMO RUFIJI

Posted on: January 21st, 2021


Wataalam wa TEHAMA Mkoa wa Pwani wameshiriki kutatua changamoto mbali mbali za mifumo ya TEHAMA Wilayani Rufiji hususani katika maeneo ya Fedha, Utumishi na hospitali na kutoa elimu mbalimbali kwa watumiaji wa mifumo hiyo ili kuwawezesha kukabiliana na changamoto ndogondogo zinazowakabili kabla ya kumuita mtaalamu wa TEHAMA.

Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni katika kukamilisha malengo ya kikao kazi cha siku tano kuanzia tarehe 18 - 21/1/2021 kilichojumuisha wataalamu toka Halmashauri zote Mkoa wa Pwani kujadili utekelezaji wa majukumu ya Kitengo katika Halmashauri, hali ya rasilimali watu na vifaa katika kitengo, ushiriki wa wataalamu katika vikao,mafunzo, mikutano, na makongamano ya kitaifa yanayohusiana na TEHAMA, hali ya matumizi ya mifumo mbalimbali hususani FFARS na GoTHoMIS, Mikakati ya uboreshaji wa utoaji huduma za TEHAMA katika Mkoa na mamlaka za serikali za mitaa, na namna ya uandaaji wa bajeti katika ya kitengo cha TEHAMA katika halmashauri

Awali wataalam hao walijadili changamoto zinazowakabili ikiwemo kutokuwa na ofisi maalum ya kitengo, samani za ofisi, vitendea kazi, uhaba wa fedha, uelewa mdogo wa walimu wanaotumia mifumo ya FFARS kuwaachia watu wengine wasiohusika kuwafanyia malipo katika mifumo, kuchanganya kwa taarifa katika mashine za malipo ( POS ) na kutokuwepo kwa usafiri maalum wa kitengo utakaowawezesha kufikia maeneo yenye changamoto kwa haraka hasa maeneo ya mbali.

Kufuatia changamoto hizo kikao kazi hicho kimepitisha maazimio kuwa vitengo viendelee kutenga bajeti zake kwa kuzingatia mambo ya msingi yatakayoviwezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, Vitengo kufanya vikao vya tathmini ya utekelezaji kila mwezi, kufanya ufuatiliaji na ukaguzi wa mara kwa mara wa mashine za ukusanyanyi wa mapato ya halmashauri, na Vitengo kutoa msisitizo kwa kila shule kufanya kazi za mfumo wa malipo wenyewe badala ya kuwaachia watu wa mtaani kwa visingizio vya kukosa vifaa.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa