• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WANANCHI WENGI WANAKOSA HAKI ZAO KWA KUTOFAHAMU SHERIA. NAOMBA MUENDELEE KUWAPATIA ELIMU WANARUFIJI ILI WAZIJUE HAKI ZAO:

Posted on: February 1st, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji amesisitiza suala la utoaji wa elimu ya Sheria na Mahusiano baina ya Mahakama na Wananchi ili kujenga jamii yenye mafanikio. Ameeleza kuwa Wananchi wengi wanakosa haki zao kwasababu ya kutofahamu sheria." Wananchi wengi wanakosa haki zao kwa kutofahamu sheria. Pamoja na kuadhimisha siku ya Sheria Nchini inayokwenda sambamba na maadhimisho  miaka 100 ya Mahakama kuu Tanzania, ni vyema elimu ya sheria iendelea kutolewa ili kuleta tija kwa Wananchi wa Rufiji katika kutambua namna ya kudai au kutimiza Wajibu wao kisheria." Alisema.

Sawala ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya iliyopo Utete Wilayani Rufiji, huku akiwataka Viongozi kuanzia ngazi za Vitongoji kujitathimini juu ya utekelezaji wa majukumu yao katika kuhamasisha Wananchi wao kushiriki elimu ya Sheria iliyokuwa ikitolewa katika maeneo mbalimbali hususani kipindi Cha maadhimisho ya Wiki hiyo ya Sheria.

Aidha, amesisitiza suala la Mahakama kuendelea kujiepusha na Rushwa ili kutenda haki katika utoaji wa maamuzi ya kisheria kwa WananchiPia ametumia fursa hiyo kuwakumbusha Vijana wote Rufiji kuwa kipindi Cha ukaguzi wa Utekelezaji wa agizo la kila kijana kuwa na Shamba kuanzia hekari moja kimefika hivyo ataanza kwenda kukagua." Waambieni Vijana wasikimbie kwasababu ya kukaguliwa. " Alisema.

Sambamba na hilo amewataka Wananchi kuendelea kufanya kazi kwa bidii huku wakizingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.

Kwa upande wake Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Rufiji Mheshimiwa Flora Mujaya ameeleza mafanikio ya Mahakama katika utoaji wa huduma bora kwa Wananchi ikiwemo upatikanaji wa taarifa za Mahakama, njia za upokeaji wa maoni pamoja na udhibiti wa tozo za ada za mawakili ili kuweka uwazi katika uendeshaji wa kesi.

Aidha ametaja Changamoto za Uchakavu wa Majengo ya Mahakama na kukatika kwa Umeme mara kwa Mara vimekuwa Changamoto kiutendaji

Pia ametoa Wito kwa Wananchi kuheshimu sheria na miongozo mbalimbali inayotolewa na Viongozi na ambayo ipo kisheria ili kuendelea kudumisha amani na maendeleo ya Taifa.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa