• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WANACHI RUFIJI WAPONGEZWA KWA KUJITOA KUCHANGIA MAENDELEO YA ELIMU

Posted on: October 1st, 2021

Pongezi hizo zimetolewa Jana Oktoba 1.2021 wakati wa makabidhiano ya Vyumba viwili vya madarasa, Ofisi, kisima Cha Maji pamoja na Matundu manne ya Vyoo yaliyofanywa katika Kitongoji Cha mpalange kata ya Umwe Wilayani Rufiji.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Mgeni Rasmi katika Sherehe hiyo ya makabidhiano Tunsume Mwakipesile ambaye pia ni Afisa Elimu taaluma Msingi Wilaya ya Rufiji amewapongezaa Wananchi wa Kitongoji hicho kwa kujitoa kuchangia aridhi yenye hekari 25, matofali pamoja na nguvu kazi Jambo lililomsukuma mfadhili mwenye asili ya Ncho ya Korea kuchangia Ujenzi huo kwa zaidi ya Milioni 49.

Katika mapokezi ya Shule hiyo ambayo kwa Sasa ipo chini ya Halmashauri Tunsume alisema shule hiyo inatakiwa kuwa na madawati haraka ili watoto waanze kusoma kuepuka Changamoto ya umbali inayowakuta Sasa.Aidha aliendesha harambee ambapo jumla ya shilingi Milioni moja na laki moja zilipatikana mkononi pamoja na ahadi kiasi Cha shilingi laki mbili.

Ameelekeza fedha hizo zitumike kutengeneza madawati na kuhakikisha madawati hayo yanaoatikana ndani ya wakati ili watoto waanze kusoma shuleni hapo na kuahidi kuisajili shule hiyo ifikapo januari 2022.

Akitoa shukrani kwa niaba ya Wananchi, Diwani wa kata hiyo Mharami Mchambwa amemshukru mfadhili huyo na kueleza kuwa dhamira yake ni kuendelea kuongea na Wafadhili mbalimbali ili kuhakikisha anaboresha miundombinu ya Elimu katika Kata yake.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa