• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAKULIMA WA PAMBA WALIOATHIRIKA NA MAJI, KUPEWA VIUATILIFU VINGINE.

Posted on: March 16th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele, ameipongeza bodi ya pamba TCB, kwa kuridhia kutoa viuatilifu (dawa ya kuulia wadudu)  kwa Wakulima wa Rufiji, ambao mashamba yao yameathirika na maji yaliyofunguliwa kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyrerere JNHPP, hivi karibuni.

Amesema maamuzi ya bodi hiyo kutoa viuatilifu itawatoa hofu wakulima, ya kufikiria namna ya kuzirudisha kwakuwa walikopeshwa na bodi na walitakiwa kurejesha baada ya mavuno, huku akiwataka Maafisa ugani kuchukua takwimu za Wakulima wote waliathirika na maji hayo.

“Kwasababu tunajua vile viuatilifu wamekopeshwa, watatakiwa kurejesha watakapovuna lakini wapo ambao mashamba yao yameathirika, niwaombe maafisa ugani mtafute takwimu halisi ya wale Wakulima ambao wameathirika na ambao tayari wameshapewa viuatilivu na wameshaweka maeneo hayo (mashambani) na kwa bahati mbaya mashamba yao yameathirika ili wasipate ule mzigo wa kuja kulipa.

Lakini pia wapewe viuatilifu mbadala kama ambavyo bodi imeridhia, sisi tunawashukuru sana kwasababu kitu ambacho nilikuwa nafikiria ni namna gani wanaweza kurecover (kuilipa) ile cost (gharama)” Alipongeza Dc Gowele

Gowele ametoa pongezi hizo katika kikao cha tathmini ya utekelezaji wa kilimo cha pamba Wilayani Rufiji, kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC), Ikwiriri machi 16, 2024.

Aliongeza kuwa maji hayo yalifunguliwa kwasababu bwawa katika mradi wa Julius Nyerere limejaa wakati ujenzi unaendelea, hali iliyosababisha kuyafuungulia ili ujenzi uendelee.

“hii effect (athari) ni muda mfupi tu, tunatarajia tarehe 25/5/2024, hii hali haitaendelea tena, na baada ya hapo Wakulima watarudi kuendelea na kilimo chao na hatutapata mafuriko tena ” aliongeza

Kwa upande wake, Balozi wa pamba Tanzania Aggrey Mwanri amesema usajili wa kilimo hicho bado unaendelea kwa Mkulima yeyote atakayetaka kujiunga.

“Mwananchi yeyote atayejitokeza hata kama imetokea tumeoveregister (usajili umepitiliza), akaomba kupatiwa mbegu baada ya kusikia huo mpango, apewe” amesema Mwanri.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa