• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFUGAJI WATAKIWA KUVUNA MIFUGO KUJIAPATIA KIPATO NA KUPUNGUZA MIGOGORO KATI YAO NA WAKULIMA

Posted on: September 19th, 2021

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka Wafugaji kuweka Utaratibu maalum wa uvunnaji wa Mifugo ili kujipatia kipato na kupunguza migogoro Kati Yao na Wakulima.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na Wakulima na Wafugaji Ikwiriri Wilayani Rufiji Mara baada ya kutembelea maeneo yenye migogoro mikubwa ya Wakulima na Wafugaji Kijiji Cha Chumbi C kata ya Chumbi pamoja na maeneo ya Hilu kitongoji Cha Shauri Moyo kilichopo Kijiji Cha Nyamwage Kata ya Mbwara Wilayani humo.

Akijibu kero za Wakulima na Wafugaji Ulega amesema, anaunga Mkono jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Edward Gowele juu ya hatua aliyochukua kufanya sensa ya Mifugo Wilaya nzima na kuchagua baadhi ya maeneo maalum ya Mifugo yaliyopo Utete na Chemchem na kuahidi kupeleka Majosho mawili katika maeneo hayo huku akisisitiza Ushirikiano na kutoa taarifa sahihi wakati wa sensa hiyo.

Ulega ameagiza bkutengwa kwa njia za Mifugo ili kuepusha Mifugo kupita katika maeneo ya Mashamba.Aidha amesisitiza kuwa maeneo yaliyotengwa katika mpango kuwa ni ya Wafugaji Wakulima wayaachie na yale yalitengwa kwaajili ya Kilimo Wafugaji wayaachie.

Pia aameahidi kutuma timu maalum ya Wataalamu toka Wizarani ili kuweza kutoa msaada wa utatuzi wa migogoro iliyopo hasa kipindi hiki Cha kiangazi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa