• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFANYABIASHARA USO KWA USO NA DC SAWALA

Posted on: August 27th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh. Luteni Kanali  Patrick K. Sawala, leo amekutana na WafanyaBiashara wa ndani ya Wilaya ya Rufiji na kujadili kwa kina namna ya kutatua changamoto na kuibua fursa za uwekezaji ndani ya Wilaya ya Rufiji. Akizungumza na Wafanyabiashara hao, Mh. Sawala amewataka wafanyabiashara hao kufikiria kufanya biashara zaidi ya wanazofanya ili kuongeza kipato chao na mapato kwa halamshauri. " Mkipata mapato zaidi halmashauri itakusanya zaidi, na huduma kwa jamii zitakuwa bora zaidi." Alisema. akiongezea katika swala hilo Mh. Sawala amewataka wawekezaji kuwekeza zaidi kwenye kilimo kwani maeneo ya kulima yapo ya kutosha na maji ya mto yapo ya kutosha." hainiingii akilini Rufiji tuna mto, tuna ardhi ya kutosha na tuna mabwawa lakini tunashindwa kulisha Dar es salaam.

Aidha, katika kipengele cha majadiliano wafanya biashara wamependekeza, Kuundwa kwa baraza la biashara Wilaya, halmashauri kutoa fursa za biashara kwa wazawa kwanza, kutolewa kwa Elimu ya kilimo biashara kwa sekta ya kilimo na kuhamasisha wakulima kuacha kilimo cha mazoea, Upatikanaji wa mitaji kwa kuwepo mabenki ya kuwakopesha wakulima, Kuanzisha ufugaji wa samaki katika mabwawa takribani saba yaliyopo Rufiji, kuanzishwa kwa maeneo rasmi ya machinjio - Ikwiriri. Akitolea ufafanuzi baadhi ya mapendekezo Mh. Sawala amesema mengi ameanza kuyanyia kazi tayari likiwemo swala la kupata Wataalam kwaajili ya Elimu na Tafiti, Vikao vya maboresho kwa vyama vya msingi, na barabara likiwemo daraja la mohoro. Akifunga Mkutano huo Mh. Sawala aliwapongeza wafanyabiasha kwa kutoa changamoton na masuluhisho badala ya kulalamika pekee. "Nimefarijika sana kuona wengi mmetoa changamoto na kupendekeza masuluhisho. Nimefarijika sana,. Tukipunguza maneno tukatenda zaidi Rufiji yetu itafika mbali sana." Alisema.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa