• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFANYABIASHARA 6 IKWIRIRI WACHANGIA MADAWATI 25 KUUNGA MKONO SERIKALI

Posted on: November 10th, 2020


Mkuu wa Wilaya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Patrick Sawala amepokea madawati 25 toka kwa Wafanyabiashara sita wa Ikwiriri kata ya Umwe Wilayani Rufiji.

Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa madawati hayo Mhe. Sawala amewapongeza Wafanya biashara hao kwa  Moyo wa Kizalendo kwa kutumia sehemu ya kipato chao kuchangia maendeleo ya elimu kwa watoto wa Rufiji na kuwaomba wadau wengine kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ngazi ya Wilaya ili kuhakikisha Watoto wa Rufiji Wanansoma katika mazingira Bora.

Aidha amewapongeza wananchi kwa kushiriki Uchaguzi katika hali ya amani na Utulivu na kuwaomba waendelee kutunza amani hiyo ili kupata fursa ya kujikita katika shughuli za kimaendeleo .

Pia ametumia fursa hiyo kumpongeza Afisa tarafa wa Tarafa ya Ikwiriri Ndg. Nsajigwa Fredy Mwandi kwa jitihada kubwa za kuhakikisha Mifugo yote inahama maeneo ya Mjini na kwenda katika maeneo maalum yaliyotengwa kwa mifugo.

Kwa upende wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Ndg. Geriad Mugoba amewapongeza Wafanayabiashara hao na kueleza hataua inayofuata ambayo ni maboresho ya miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Vyumba vya madarasa.

Akizungumza wakati wa kukabidhi Mwenyekiti wa Wafanyabiashara hao Niko salum lijangandondo amesema wameguswa kuchangia kutokana na hamasa kubwa ya Uchangiaji aliyofanywa na Mkuu wa Wilaya. katika kusimamia na kuhakikisha Halmashauri pamoja na Wadau wengine wanaweka nguvu kwenye madawati  kwa shule za msingi na Sekondari na kumaliza changamoto ya Wanafunzi  kukaa chini.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa