• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

VIKOSI VYAUNDWA KUPAMBANA NA WAFUGAJI WAHARIBIFU

Posted on: February 6th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele, ameunda vikosi kazi makundi manne 4, ya kupambana na Wafugaji watakaolisha mifugo yao kinguvu katika shamba la Mkulima huku akiwataka Wananchi kutoa taarifa endapo wataona mifugo inazagaa mashambani.

 “nafurahi kuwaambia Wananchi limeni wala msiwe na mashaka, naunda makundi manne 4, tutaanzia ukanda wa Mwaseni, cha pili kitakuwa ukanda wa Ikwiriri, cha tatu kitakuwa ukanda wa Muhoro na cha nne kitakuwa ukanda wa Utete” amesema.

Gowele ameyasema hayo Februari 6, 2024  katika hafla fupi ya ugawaji wa mbegu za pamba kwa Wakulima waliokubali kujiandikisha katika mapango wa kilimo cha pamba ambao upo chini ya muwekezaji Rufiji Cotton Ltd kutoka India, iliyofanyika katika kitongoji cha Mpima kata ya Mgomba- Ikwiriri.

Mradi wa kilimo cha pamba ulizinduliwa Januari 13, 2024 katika kijiji cha Chumbi A kata ya Chumbi na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge.

Mheshimiwa Gowele ameongeza kuwa makundi hayo yanatokana na Vijana wa jeshi la akiba ambao wamepewa mafunzo na weledi wa kutosha.

“vikundi hivyo havitakuwa peke yake, vitakuwa na vyombo vyote vya usalama tunahitaji taarifa kutoka kwenu (Wakulima) pale ambapo mtaona kuna mifugo inazurula kwenye mashamba” ameongeza Gowele.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kilimo cha Pamba, Rufiji Cotton Hassan Kaunje amesema mpaka sasa wakulima 2290 wamejiandikisha kwaajili kulima katika mfumo ya kilimo cha mkataba.

“idadi hiyo ya Wakulima imetengeneza hekari tarajiwa 4814 mpaka siku ya jana” Amesema Kaunje.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa