• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TUFIKIRIE SANA NJE YA BOKSI: Mhe. Lt. Col. Patrick Sawala Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

Posted on: April 19th, 2021

.Na. Emmanuel Kapandila - Rufiji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Lt. Col. Patrick Sawala amewataka watekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya masikini kipindi Cha pili awamu ya tatu kufikiri zaidi katika kukabiliana na kutatua Changamoto ili kufanikisha mpango huo Kama ilivyokusudiwa.Ameyasema hayo mapema Leo tarehe 19/04/2021 alipokuwa akizindua mpango huo katika Ukumbi wa Halmashauri uliopo Utete Wilayani Rufiji." Tufikirie nje ya boksi, tunapoendelea kutekeleza mpango huu wa TASAF kipindi Cha pili awamu ya tatu." Alisema.Amewataka madiwani kushiriki kikamilifu katika kuhakikisha Wananchi wanapata Elimu ya kutosha juu ya mpango ili kuondoa malalamiko ya Mara kwa Mara hususani yale ambayo yanahitaji Elimu au taarifa sahihi na kwa wakati.Katika hatua nyingine amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri kutoa taarifa ya Vitambulisho vya Wajasiriamali 674 ambavyo havikurejeshwa na fedha yake haijulikani ilipo kufikia ijumaa wiki hii.Kwa upande wake Katibu Tawala Wilaya Bi . Maria Katemana amesema Uadilifu, ushirikiano na kujituma ndio nyenzo zitakazopelekea ufanisi katika utekelezaji wa mpango huo.Naye Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Juma Ligomba amesema atasimamia vyema maelekezo yaliyotolewa kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji huku akitoa rai kwa Wajumbe juu uhamasishaji wa kilimo Cha zao la mhogo ambalo kwa Sasa soko lake litakuwa kwa kasi kufuatia mpango wa ujenzi wa kiwanda kikubwa Cha mihogo Kinachotarajiwa kujengwa Chalinze Mkoani Pwani.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa