• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TFS YATOA MSAADA WA MIL. 20 KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI, KIBITI.

Posted on: April 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amepokea msaada wa hundi ya sh. Milioni 20 kutoka

Wakalawa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)  kwa ajili ya kusaidia kutatua Changamoto za wahanga wa mafuriko yaliyotokea katika Wilaya ya Kibiti na Rufiji  Mkoani Pwani.

Mfano wa hundi ya fedha hizo imekabidhiwa leo na meneja mahusiano wa TFS  nchini Johary Kachwamba kwa mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge katika hafla iliyofanyika ofisi za Mkuu huyo zilizopo Mjini Kibaha.

Kachwamba,amesema kuwa TFS kupitia Kamishna wake Silayo Dos Santos imeguswa na janga hilo la mafuriko ndio maana imeona kuna kila sababu ya kuunga mkono Serikali kwa kusaidia wahanga wa Wilaya hizo.

Amesema,TFS kwa eneo la Rufiji wanamisitu na kwamba wanaRufiji ni wahifadhi wenzao kwakuwa TFS ina misitu zaidi ya 10 ikiwa na zaidi ya hekta 32,000 ndio maana Kamishna wa Uhifadhi ametoa kiasi ili kusaidia wahanga.

"TFS kupitia Kamishna wa Uhifadhi Silayo Dos Santos ametoa kiasi cha Sh.milioni 20 kusaidia changamoto za wahanga wa mafuriko Rufiji na Kibiti lakini tutaendelea kushika mkono kulingana na mahitaji ," amesema Kachwamba.

Akizungumza mara baada ya kupokea hundi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, ameishukuru TFS kwa kwa mchango huo kwani wameonyesha namna ambavyo wameguswa na janga la mafuriko hayo.

Kunenge, amesema kuwa TFS wamefanya jambo hilo kwa ajili ya kumuunga mkono juhudi za Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

"Nawashukuru sana wenzetu wa TFS kwa kutoa mchango huu mkubwa kwa ajili ya kusaidia wahanga wa mafuriko Wilayani Kibiti na Rufiji,ni mfano wa kuigwa kwao kwakuwa wanaunga mkono Rais Samia,"amesema Kunenge .


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa