• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

SERIKALI YATOA SH. MIL. 145,205,225 KUSAIDIA WATU 1843 KAYA MASIKINI

Posted on: September 24th, 2020

Katibu Tawala Wilaya ya Rufiji Bi. Maria Katemana leo amemuwakilisha Mkuu wa Wilaya kutembelea na kukagua zoezi la utoaji wa fedha zilizotolewa na Serikali kupitia TASAF ili kusaidia kaya masikini ziweze kujikimu kiuchumi.
Akizungumza na wanufaika wa mradi huo katika Kijiji cha Kiwili kata ya Utete Katibu Tawala amewataka wananchi hao kutumia fedha wanazopewa kutimiza malengo waliyobainisha  ili kupiga hatua na kuboresha hali zao za kiuchumi." Ninatumaini kuwa fedha hizi zitaenda kubersha miradi mliyoianzisha kama mlivyosema kuwa mmeanzisha ufugaji wa kuku, kilimo na kupeleka watoto shuleni". Alisema.
Kwa upande wake Mratibu wa TASAF Wilaya Ndg. Lamudi Ngaruburwa amesema zoezi hili limefanyika kwa muda wa siku mbili juma tano na alhamisi kufikia walengwa 1843 ambao waliwekwa kwenye mpango. " Huu ni muendelezo wa mpango uliozinduliwa na Mtukufu Rais wetu Mh. John Pombe Magufuli akiwa na lengo la kuinua hali ngumu ya Watu wenye kipato cha chini. Zoezi hili ni endelevu na Mara baada ya Uchaguzi tutakuwa tumefikia watu wote walikosa pesa kwasababu ya kutohakikiwa.
Aidha zoezi hilo lilikwenda sambamba na utoaji wa elimu ya Lishe bora ili kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto. Akitoa elimu hiyo, Mratibu wa Lishe Wilaya ya Rufiji Bi. Mwanahamisi amewaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kuzingatia makundi matano ya chakula badala ya kula vyakula vingi vyenye kundi moja la chakula. 
Naye Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Wanufaika wameishukuru Serikali kwa kujali Wananchi Wanyonge na kuwainua kwani kwa kufanya hivyo kumeondoa kabisa matabaka na ugumu wa maisha katika jamii zao.# HABARI NA KITENGO CHA TEHAMA - RUFIJI

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa