• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

RUFIJI YAANZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MPANGO WA USTAWI WA TAIFA

Posted on: October 29th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amewataka Wasimamizi na watekelezaji wa miradi ya mpango wa maendeleo ya ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19 kufanyakazi kwa uaminifu, uadilifu na kwa bidii ili wananchi waone matunda ya jitihada za Mhe. Rais katika kuwaletea maendelo Wananchi wake.

Meja Gowele ameyasema hayo katika kikao na Wakuu wa Idara na Vitengo, Wakuu wa Shule, Wilimu  Wakuu, Waratibu wa Elimu, Watendaji wa Kata na Vjiji katika kikao cha Mpango kazi wa Utekelezaji wa miradihiyo ngazi ya Wilaya.

“ kama utaingiza mkono kwenye hizi fedha kinyume na makubaliano tuliyoyanya hapa basi atanisamehe”. Alisema

Aidha amesisitiza uendelezwaji wa miradi mingine ya maendeleo iliyokuwa inaendelea ili ikamilike kwa wakati kama ambavyo imepangwa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Ligomba amewataka walezi wlioteuliwa kusimamia na kufuatilia miradi hiyo kila kata kufanya kwa kujitoa ili kuongeza ufanisi wa Utekelzaji.

Ligomba amewsisitiza wasimamizi kuzingatia mafundi wawajibikaji na kutosita kumuondoa fundi atakayeonekana kuchelewesha miradi hiyo.

Naye Mkurugenzi Mtendaji John Lipesi Kayombo amesema Halmashauri imejipanga na kuwa itaendelea kupeleka fedha za miradi ya maendeleo kwa Wananchi kupitia mapato ya ndani kila zinapokusanywa.

“ tukasimamie kwa uadilifu, nitafuatilia mwenendo wa miradi hii kila siku. Miradi itakuja mingi hivyo tuwetayari kuwajibika.” Alisema kayombo

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa