• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

PESA ZINAZOKUSANYWA KWENYE VITUO VYA AFYA ZIPELEKWE BENKI-MGANGA MKUU

Posted on: July 25th, 2024

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Dkt. Hamis Abdallah, ametoa maelekezo kwa Waganga Wafawidhi kuhakikisha pesa zinazokusanywa kwenye vituo vyao zinapelekwa benki ili kuongeza mapato kwenye Serikali na kusaidia kutatua matatizo ya Wananchi ikiwemo ununuzi wa dawa, huku akiwataka kuweka mipango mizuri ya ukusanyaji wa mapato.

"mipango yetu ilenge kutatua matatizo ya Wananchi, mpaka kufikia Agost 1, pesa zote zilizokusanywa zipelekwe benki, muwe makini sana kwenye kufikia malengo ya bajeti tuliyojiwekea" amesema Dkt. Hamis.

Dkt. Hamis aliyazungumza hayo kwenye kikao kazi cha Mwaka (2023/2024) cha CHMT na Waganga Wafawidhi kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Rufiji leo Alhamis Julai 25, 2024, kilicholenga kuangalia tathimini ya utendaji kazi.

Mbali na hayo, aliwataka kutumia lugha nzuri kwa Wagonjwa pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kwa kushirikiana ili kuendelea kutoa huduma bora kwa Wananchi.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Sebastian Gaganija, alitumia kikao hicho kuwasisitiza Watumishi wa Afya kuzungumza lugha nzuri pindi wanapowapokea na kuwahudumia Wagonjwa  pamoja na kufanya kazi kwa bidii katika utoaji huduma Kwa Wananchi.

"tuzungumze lugha nzuri kwa Wagonjwa tunaowapokea katika vituo vyetu na tuwahudumie vizuri" alisisiza Gaganija.

Kwa upande wake Mkaguzi wa ndani wa halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Furaha Ngabo, amewataka Waganga Wafawidhi kufuata sheria, kanuni na taratibu  kwenye ukusanyaji wa mapato.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa